Je, CCM ina mpango wowote kutufikisha G20 hatimaye G8?

Je, CCM ina mpango wowote kutufikisha G20 hatimaye G8?

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
1,968
Reaction score
2,957
Kutokana na shauku kubwa ya maendeleo niliyo nayo na ukizingatia kuwa nchi yetu ina kila mazingira ya kutufanya uchumi wa nchi yetu ukuwe kuliko mataifa mengi, ndipo najiuliza hiki chama tulichokipa dhamana kituongoze kina mpango wowote kutupeleka huko!?

Au mpango wao ni kupambana na wapinzani na kuhakikisha wanamdibiti kila anaeonekana ni tishio kwa nafasi zao?
 
Tukifika G8 au G20 haitakuwa tena G8 na G20 bali G9 na G21
 
Back
Top Bottom