seedfarm
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 260
- 2,655
Rai yangu haya mambo yasipokemewa, Kuna watu wataanza kuwaigiza waislam na italeta shida na taabu sana
Hii video ni ya kukemea na kupingwa na kila mtu hasa wana CCM wenyewe
Watu kugeuza sala na taratibu za watu iwe Dua au Maombi na kuweka viitikio vya CCM ni dharau kubwa
Uchaguzi usiwatoe watu ufahamu na kuanza kuleta dharau kwa imani za watu
Huyo aliyefanya hayo akemewe na wana ccm wenyewe
Video imeambatanishwa
Your browser is not able to display this video.