Je CCM yamuandaa Mh Anthony Mavunde kuwa Rais ajaye?

Je CCM yamuandaa Mh Anthony Mavunde kuwa Rais ajaye?

finyango

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2016
Posts
2,735
Reaction score
2,123
Wakuu salamu kwenu.
Je imawezekan CCM inamuandaa Mh Mavunde kuwa Rais Ajaye?
 

Attachments

  • C5E8DDB4-58DA-4006-94C1-178146DB0EEC.jpeg
    C5E8DDB4-58DA-4006-94C1-178146DB0EEC.jpeg
    958.5 KB · Views: 7
  • 97714004-65DC-4696-91E9-3709AECBECE7.jpeg
    97714004-65DC-4696-91E9-3709AECBECE7.jpeg
    1.1 MB · Views: 6
Mods rudisheni uzi wangu, niliwahi kuandika humu juu ya Mavunde kuandaliwa kuchukua nchi 2030 mkaufuta.
 
Wakuu salamu kwenu.
Je imawezekan CCM inamuandaa Mh Mavunde kuwa Rais Ajaye?
Hizi ni zamu tu za mawaziri kamili kwenda kupokea wageni airport kunapokuwa na wageni Wengi….hata DOROTH GWAJIMA na Angellah Kairuki huwa wanapewa hizo nafasi
 
Back
Top Bottom