Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
Kwa hiyo ulitaka nikujibu suala dogo kama hilo, ambalo hata mtoto wa darasa 1 anajua!Unadhihirisha kiwango cha ufahamu & uelewa wako boss. kama hukuelewa suala dogo km hilo; sina la kukusaidia. Sidhani km inahitajika elimu kubwa kunielewa.
Ila nashukuru pia kunipa ripoti kua tangazo linasomeka
SAJILI KAMPUNI; LTD, JINA LA KAMPUNI, PARTNERSHIP, HESABU ZA KAMPUNI, PROFORMA INVOICES ETC 0652411402 -0684205039
Andika ama kiswahili ama kiingereza.Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali la tathmini kuhusu upinzani kuweza kuchukua nchi uchaguzi wa 2020. Kwa upande wa huku Tanzania Bara, ulizungumzia upinzani ni unazungumzia Chadema, hivyo hili bandiko kuihusu Chadema, as a representative wa upinzani kwa huku Tanzania Bara, vipi kuhusu Chadema, seriousness yake, its abilities and the capabilities kuelekea uchaguzi wa 2020. Hivi CHADEMA, hii, hivi ilivyo, inawezo wa kushinda uchaguzi wa 2020?, na hata ikatokea ikashinda kwa muujiza tuu kama wa Kenya, Zambia na Malawi, jee inaweza kuendesha nchi?. Is it a Serious Party?, is it Capable, is it Credible?. Is it Organized?, does it have Succession Plan?. Is it Mature Enough Opposition, Kuweza Kukabidhiwa Nchi yetu 2020?!.
Maswali haya ni kufuatia tathmini yangu jinsi Chadema inavyo deal na baadhi ya issues mbalimbali na ndogo ndogo tuu ikiwemo the current one ya uteuzi wa wawakilishi wake kwenye Bunge la EALA. Chadema kuna wakati ina behave childish na ikikwama kwa kutofuata sheria, taratibu na kanuni, ina pandisha na kupaza loud noises za baby cry kuwa inaonewa!.
Kutawala nchi sio jambo dogo au jambo la mchezo mchezo. Ikulu yetu haipaswi kugaiwa kwa majaribio bali kwa uhakika, tutakaye mkabidhi ikulu yetu ni lazima kwanza atuthibitishie amekomaa, na anawezo, mature enough with the abilities and capabilities, na sio tuu kumpa mtu ikulu yetu kwa kumjaribishia simply kwa sababu tuu CCM imeshindwa hili na lile na baadhi ya watu wameichoka sana CCM mpaka basi!.
CCM inaendelea kushinda na kuchaguliwa mwaka hadi mwaka, na itaendelea kuchaguliwa sio kwa sababu CCM is the best party, au CCM imeweza au inauwezo kivile!, no!. CCM has failed this nation, since then, CCM imeshindwa na ilishindwa siku nyingi na inaendelea kushindwa, kwa kufanya madudu mengi tuu ya ajabu ajabu, lakini bado imekuwa ikiendelea kushinda kwa kuchaguliwa mwaka hadi mwaka kwa mazoea tuu kwa sababu, Tanzania bado hatuna mbadala muafaka wa kuiondoa CCM!.
Yaani Tanzania bado hatuna any serious, capable and a credible opposition party ya kuwapa wapiga kura wa Tanzania a choice to choose from, hivyo CCM kujikuta ikiendelea kuchaguliwa na kushinda kwa ku sail through na upepo wa mazoea, kwa sababu ndio the only one iliyopo!, we have no any serious, capable na credible choice to choose from, hivyo we have no choice. Matokeo yake ni CCM inashinda kwa an easy ride ya mazoea na itaendelea kushinda na kushinda tena na tena mpaka tutakapo pata a credible opposition such that we'll have a choice to choose from!.
Kwa Zanzibar hakuna ubishi kuhusu uwezo wa CUF as a credible opposition kuweza kutawala Zanzibar, lakini kwa upande wa huku Tanzania Bara, bado kabisa hatuna any serious, capable and a credible opposition ya kuiondoa CCM na kuikabidhi Ikulu yetu.
CHADEMA ndio angalau angalau wameonyesha nia na dalili za kuweza kuaminiwa, na kiukweli wakiamua, wanaweza kabisa, ila natatizwa na haya madudu yao madogo madogo yanayo onyesha all signs za immaturity kwa upande wa Chadema, such that bado ni chama ambacho hakijaonyesha ukomavu wa kutosha enough to convince Tanzanians kuikabidhi ikulu yetu comes 2020, waipige chini CCM na kuikabidhi Chadema Ikulu yetu ya Magogoni.
Jee kwa maoni yako, unaiona Chadema as a credible,capable na serious opposition, iliyokomaa na kuwa mature enough with the ability, capability and credibility ya kukabidhiwa ikulu yetu 2020?.
Kwa upande wangu, honestly, I don't think, ila kabla sijasema why I don't think and what should we do, naomba kupata mawazo yako, assuming uchaguzi wa Tanzania utaendeshwa kwa uhuru na haki, na chama kitakacho shinda kimeshinda kwa haki, Jee Chadema hata kikishinda, kinauwezo?. Kimeonyesha uwezo wa utayari wa kutawala nchi endapo kitashinda uchaguzi 2020?. Ila kabla hata hakijashinda huo uchaguzi wa 2020, kwa Chadema hii tunayoiona sasa, jee inao huo uwezo wa kushinda?.
Na hata tukiachana na udhaifu wa upinzani imara, everything has it's limits, suppose CCM imewafikisha Watanzania at their limits wakaamua sasa imetosha, they've had enough of CCM and now they are fed up hivyo kuamua liwalo na liwe, wakaipiga chini CCM kwenye sanduku la kura na kuichagua Chadema, jee CCM itakubali kuachia?. Can you just imagine mtu aliyepo Ikulu kukabidhi madaraka sijui kwa nani hiyo 2020, is it possible?.
Kuna mtu yoyote ameishawahi kusikia maandalizi yoyote ya succession plan ya changing arms kwa vyombo vya serikali, na vyombo vyetu vya dola na vyombo vya ulinzi na usalama, kujiandaa kukitumikia chama kingine chochote nje ya CCM?.
Kwanza tuu hata ikatokea Watanzania wengi zaidi wakaichoka CCM na kuipiga chini kwenye sanduku la kura, jee huyo mshindi halali atatangazwa?!, na Tume hii hii?!, Au inawezekana zoezi zima la uchaguzi wa vyama vingi ni kwenye ubunge tuu na udiwani, lakini kwenye urais, licha ya the playing field kutokuwa level, inawezekana uchaguzi wa rais ni igizo tuu la uchaguzi?!.
Nawatakia Furahi Dai Njema.
Paskali.
Rejea.
CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga! - jamiiforums.com
CHADEMA: Tujadili Utayari wa Kutawala Nchi 2015 | Page 7 ...
Kuelekea 2020: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If ...
Kuelekea 2020: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM ...
CHADEMA Ikipewa Nchi, October 2020, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala ...
Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi ...
Kuichagua tena CCM, Je ni kielelezo cha kufanya informed decision ...
Ikitokea CCM ishinde, Je ushindi huo ni kutokana kuwekeza kwenye ...
Watanzania ni ignorants au tumelogwa?
CHADEMA Hamkujipanga, hamjajipanga, hamjipangi na hamtajipanga ...
Wenye Matumaini na Upinzani Kushika Dola!, Sahauni! CCM Inajiandaa Kuua Kabisa na Kuuzika Jumla
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...
Lizarazu
Wanabodi,Mayala mgombea wa upinzani atapatikana last minute .Kwa siasa za kikoloni hutarajii kumnusa saizi na ndio maana mnahaha kuchombeza chombeza.
Sent using Jamii Forums mobile app
sikio la kufaMkuu Mag3, hili la kuamini adui mkubwa wa taifa hili ni CCM, it is a school of thought, na huu ndio mtazamo wa Chadema, mimi naamini otherwise na mawazo yangu niliyatoa kwenye mabandiko haya...
CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za msingi. Adui wenu mkuu sio CCM! Lazima mbadilike - JamiiForums
Mkuu Mag3, ukisoma hoja hizo, utakubaliana na mimi, adui yetu Mkuu sio CCM bali ni kukosekana kwa upinzani imara, upinzani makini na chama mbadala wa CCM ili Watanzania wakiaminie, wakipigie kura, hivyo hata uchaguzi Mkuu huu wa October, kwa huku bara ni CCM only and only CCM pekee!
Pia karibu kwenye nondo za bandiko hili
Mkuu Mshana Jr, kwanza heshima mbele, hakuna mtu yoyote anayeiombea Chadema ife, kosa langu ni kuwa mkweli too much.Nimemuona P kwenye mada za CHADEMA. Utabiri wa mabaya. P ulituasa tuepuke prophecy of doom. Tusiwaase wengine huku sisi tunatenda.
Hakuna kosa kubwa tutalifanya kama kuombea CHADEMA ife. Hiyo laana haitakaa ituache, itakula nasi sahani moja. Kama tulikubali NCCR na CUF vinyongwe, tusikubali haya kwa CHADEMA.
Makala nyingi za kuiponda CHADEMA na kukiombea mabaya hata kama sio sehemu ya zile project zina ukakasi na kuacha maswali mengi kuliko majibu.
Je, kuna personal issues nje ya politik?
Jr[emoji769]
Hata asimamishwe Obama na huu mfumo tulionao...........Suppose TL ndie mgombea wa Chadema,
Does he stand a chance ?.
P
Wanabodi, mimi nilidhani Lissu hatarejeaWanabodi,
Hili ni bandiko la swali la tathmini kuhusu upinzani kuweza kuchukua nchi uchaguzi wa 2020. Kwa upande wa huku Tanzania Bara, ulizungumzia upinzani ni unazungumzia Chadema, hivyo hili bandiko kuihusu Chadema, as a representative wa upinzani kwa huku Tanzania Bara, vipi kuhusu Chadema, seriousness yake, its abilities and the capabilities kuelekea uchaguzi wa 2020. Hivi CHADEMA, hii, hivi ilivyo, inawezo wa kushinda uchaguzi wa 2020?, na hata ikatokea ikashinda kwa muujiza tuu kama wa Kenya, Zambia na Malawi, jee inaweza kuendesha nchi?. Is it a Serious Party?, is it Capable, is it Credible?. Is it Organized?, does it have Succession Plan?. Is it Mature Enough Opposition, Kuweza Kukabidhiwa Nchi yetu 2020?!.
Maswali haya ni kufuatia tathmini yangu jinsi Chadema inavyo deal na baadhi ya issues mbalimbali na ndogo ndogo tuu ikiwemo the current one ya uteuzi wa wawakilishi wake kwenye Bunge la EALA. Chadema kuna wakati ina behave childish na ikikwama kwa kutofuata sheria, taratibu na kanuni, ina pandisha na kupaza loud noises za baby cry kuwa inaonewa!.
Kutawala nchi sio jambo dogo au jambo la mchezo mchezo. Ikulu yetu haipaswi kugaiwa kwa majaribio bali kwa uhakika, tutakaye mkabidhi ikulu yetu ni lazima kwanza atuthibitishie amekomaa, na anawezo, mature enough with the abilities and capabilities, na sio tuu kumpa mtu ikulu yetu kwa kumjaribishia simply kwa sababu tuu CCM imeshindwa hili na lile na baadhi ya watu wameichoka sana CCM mpaka basi!.
CCM inaendelea kushinda na kuchaguliwa mwaka hadi mwaka, na itaendelea kuchaguliwa sio kwa sababu CCM is the best party, au CCM imeweza au inauwezo kivile!, no!. CCM has failed this nation, since then, CCM imeshindwa na ilishindwa siku nyingi na inaendelea kushindwa, kwa kufanya madudu mengi tuu ya ajabu ajabu, lakini bado imekuwa ikiendelea kushinda kwa kuchaguliwa mwaka hadi mwaka kwa mazoea tuu kwa sababu, Tanzania bado hatuna mbadala muafaka wa kuiondoa CCM!.
Yaani Tanzania bado hatuna any serious, capable and a credible opposition party ya kuwapa wapiga kura wa Tanzania a choice to choose from, hivyo CCM kujikuta ikiendelea kuchaguliwa na kushinda kwa ku sail through na upepo wa mazoea, kwa sababu ndio the only one iliyopo!, we have no any serious, capable na credible choice to choose from, hivyo we have no choice. Matokeo yake ni CCM inashinda kwa an easy ride ya mazoea na itaendelea kushinda na kushinda tena na tena mpaka tutakapo pata a credible opposition such that we'll have a choice to choose from!.
Kwa Zanzibar hakuna ubishi kuhusu uwezo wa CUF as a credible opposition kuweza kutawala Zanzibar, lakini kwa upande wa huku Tanzania Bara, bado kabisa hatuna any serious, capable and a credible opposition ya kuiondoa CCM na kuikabidhi Ikulu yetu.
CHADEMA ndio angalau angalau wameonyesha nia na dalili za kuweza kuaminiwa, na kiukweli wakiamua, wanaweza kabisa, ila natatizwa na haya madudu yao madogo madogo yanayo onyesha all signs za immaturity kwa upande wa Chadema, such that bado ni chama ambacho hakijaonyesha ukomavu wa kutosha enough to convince Tanzanians kuikabidhi ikulu yetu comes 2020, waipige chini CCM na kuikabidhi Chadema Ikulu yetu ya Magogoni.
Jee kwa maoni yako, unaiona Chadema as a credible,capable na serious opposition, iliyokomaa na kuwa mature enough with the ability, capability and credibility ya kukabidhiwa ikulu yetu 2020?.
Kwa upande wangu, honestly, I don't think, ila kabla sijasema why I don't think and what should we do, naomba kupata mawazo yako, assuming uchaguzi wa Tanzania utaendeshwa kwa uhuru na haki, na chama kitakacho shinda kimeshinda kwa haki, Jee Chadema hata kikishinda, kinauwezo?. Kimeonyesha uwezo wa utayari wa kutawala nchi endapo kitashinda uchaguzi 2020?. Ila kabla hata hakijashinda huo uchaguzi wa 2020, kwa Chadema hii tunayoiona sasa, jee inao huo uwezo wa kushinda?.
Na hata tukiachana na udhaifu wa upinzani imara, everything has it's limits, suppose CCM imewafikisha Watanzania at their limits wakaamua sasa imetosha, they've had enough of CCM and now they are fed up hivyo kuamua liwalo na liwe, wakaipiga chini CCM kwenye sanduku la kura na kuichagua Chadema, jee CCM itakubali kuachia?. Can you just imagine mtu aliyepo Ikulu kukabidhi madaraka sijui kwa nani hiyo 2020, is it possible?.
Kuna mtu yoyote ameishawahi kusikia maandalizi yoyote ya succession plan ya changing arms kwa vyombo vya serikali, na vyombo vyetu vya dola na vyombo vya ulinzi na usalama, kujiandaa kukitumikia chama kingine chochote nje ya CCM?.
Kwanza tuu hata ikatokea Watanzania wengi zaidi wakaichoka CCM na kuipiga chini kwenye sanduku la kura, jee huyo mshindi halali atatangazwa?!, na Tume hii hii?!, Au inawezekana zoezi zima la uchaguzi wa vyama vingi ni kwenye ubunge tuu na udiwani, lakini kwenye urais, licha ya the playing field kutokuwa level, inawezekana uchaguzi wa rais ni igizo tuu la uchaguzi?!.
Nawatakia Furahi Dai Njema.
Paskali.
Rejea.
CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga! - jamiiforums.com
CHADEMA: Tujadili Utayari wa Kutawala Nchi 2015 | Page 7 ...
Kuelekea 2020: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If ...
Kuelekea 2020: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM ...
CHADEMA Ikipewa Nchi, October 2020, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala ...
Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi ...
Kuichagua tena CCM, Je ni kielelezo cha kufanya informed decision ...
Ikitokea CCM ishinde, Je ushindi huo ni kutokana kuwekeza kwenye ...
Watanzania ni ignorants au tumelogwa?
CHADEMA Hamkujipanga, hamjajipanga, hamjipangi na hamtajipanga ...
Wenye Matumaini na Upinzani Kushika Dola!, Sahauni! CCM Inajiandaa Kuua Kabisa na Kuuzika Jumla
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...
Lizarazu
Final UpdateWanabodi,
Hili ni bandiko la swali, "Kwa Mliomsikia Tundu Lissu Kwenye Hard Talk, Jee Unadhani Atarejea Nchini?. Mimi kwa upande wangu, I seriously doubt kama atarejea, na ikitokea kweli akarejea, then Tundu Lissu atakuwa ni shujaa mwenye uthubutu na ushujaa mkubwa kuliko hata ushujaa wa Nelson Mandela!.
Nimesema hivyo kwa sababu nimemsiliza kwa makini Tundu Lissu, him being a Lawyer, kwa yale aliyoyasema, kwa tuhuma alizoshusha bila ushahidi, I seriously doubt if Tundu Lissu will ever return home during this era, na ikitokea kweli akarejea, then Tundu Lissu atakuwa ni shujaa kuliko Nelson Mandela.
Hongera zake.
Paskali
Mkuu Kishina cha Mshahara, kwanza naomba kukiri, ninaheshimu mawazo yako, ila kwenye uchaguzi, ni kweli kuna mtu amefanya the right timing na mtu ni too late too little!.Too late,kwa sasa mnavuna mlichopanda kwa miaka mitano.
Mkuu Dada yangu Sikai Ekilati, Sky Eclat , suppose hayo usemayo ni kweli kuwa CCM imeshindwa kutawala kwa utawala unaofuata sheria, na kukumbatia sheria zilizopitwa na wakati bila kufanyiwa marekebisho. Swali ni je nani ndio mbadala wa CCM?. Kwa vyama hivi vilivyopo, ni chama gani kimeonyesha maturity, ability, capacity, capability na credibility, ya kuweza kukabidhiwa Ikulu yetu, kiendeshe nchi?.Tunachohotaji Tanzania ni utawala unaofuata sheria, na sheria zilizopitwa na wakati kufanyiwa marekebisho. CCM imeshindwa kufanya jambo hili .