Mkuu andiko limekosa msimamo yaani ni andiko kigeugeu kama kinyonga. Unaonyesha unajipendekeza pande zote mbili yaani CDM na Serikalini. Kwa mimi naona unajichanganya na
HAWA MAKADA WAMESOMA NA BADO HAWAELEWI NCHI INAENDESHWAJE KWANI WALIOKO PALE SERIKALINI SI WAKO KWA MUJIBU WA SHERIA SI WATAE DELEA NA MAJUKUMU YAO
Umepotelea wapi mkuu karibu tena Umekuja na ingizo jipyaMkuu Dada yangu Sikai Ekilati, Sky Eclat , suppose hayo usemayo ni kweli kuwa CCM imeshindwa kutawala kwa utawala unaofuata sheria, na kukumbatia sheria zilizopitwa na wakati bila kufanyiwa marekebisho. Swali ni jee nani ndio mbadala wa CCM?. Kwa vyama hivi vilivyopo, ni chama gani kimeonyesha maturity, ability, capability na credibility, ya kuweza kukabidhiwa Ikulu yetu, kiendeshe nchi?.
NB. Ikulu sio sehemu ya kufanyia majaribio!.
P
Mkuu Gerald .M Magembe , kuna kitu kikubwa sana unakizungumza hapa kuhusu uchaguzi, kushinda kura na kukabidhiwa nchi.Kuwepo kwa system hiyo ni dunia nzima , nchi yeyote ile ina kundi hili, ila tuu Warekani wali demokratize kidogo na kuiita electoral College. Bil;a kupata kuta za electoral college hata upate kura nyingi za wananchi lakini aliye pata kura kidogo za wananchi lakini akapata kura nyingi za electoral college ana chukua nchi.
Kwahiyo system iliona Kikwete anafaa kuwa Rais? Iliona Mwinyi Snr anadai kuwa Rais?Kuwepo kwa system hiyo ni dunia nzima , nchi yeyote ile ina kundi hili, ila tuu Warekani wali demokratize kidogo na kuiita electoral College. Bil;a kupata kuta za electoral college hata upate kura nyingi za wananchi lakini aliye pata kura kidogo za wananchi lakini akapata kura nyingi za electoral college ana chukua nchi.
Kwahiyo system iliona Kikwete anafaa kuwa Rais? Iliona Mwinyi Snr anadai kuwa Rais?
Deep state kma ingekua neutral tokea 2010 ilipaswa Dr Slaa awe Rais. Ila huwezi niambia huwa wanaiona CCM iliyojaa mafisadi ndio perfect choice. Hicho mimi napinga mpaka kesho unless ukiri tu wamejaa watu wa CCM huko nothing more so competence imewekwa pembeni.
Btw Raia wakiamua hyo deep state na mfumo wote wa kiusalama mpaka ngazi ya kitongoji hawazidi watu laki 5 kwahiyo watu million 10 wakiingia barabarani watazuia nini? Who has a better espionage system kma El Bashir ama Moi? Mbona walitolewa kwa maanadamano ya wamachinga tu wasio hta na mawe?
Deep state ina tatizo kma inaona Magufuli is a perfect choice for a President.
Well..... In comparative assesment all opposition members who have joined CCM have ended either in the cabinet, parilament or gov't posts. How comes they are promoted in CCM if they're are incompetent?Mkuu where you are today I was there for 20 years, but got to know more thats people of sharp mind are not in opposition today, and those happened to be there left in droves.
When time come that the opposition have matured enough to rule this country, you shall find very many matured and credible people in opposition than what you see it today.
Well..... In comparative assesment all opposition members who have joined CCM have ended either in the cabinet, parilament or gov't posts. How comes they are promoted in CCM if they're are incompetent?
Can you elaborate how leaders such Sabaya,Makonda,Hapi,Nape,Polepole,Gambo et al are deemed matured enough to lead the gov't while at the same u claim opposition aren't?
Let's not justify CCM firm grip on power with excusew that opposition are blah blah. This doesn't make any sense considering that Civil servants are ones to run the government whether its CHADEMA or CCM ruling, now where does this theory of "inexperienced opposition" originate?
More so they advocated Warioba's Constitution draft which explicated that ministerial posts and other key executive posts should not be in the hands of politicians but rather experts implying if CHADEMA wins still Ministers and key posts will be run by experts in the field and not propagandists!!
Bottom line: there's first time for everything otherwise Mandela or Nyerere wouldn't be Presidents because they hadn't been in a gov't position before.
Dah maelezo yako yanatisha na kuogopesha mno hasa uliposema hatuwezi kumpa nchi mtu kienyeji wewe na nani? (Ikulu sio mahali pa mchezo) kwani ikulu ni ya nani? Au unafikiri cdm wataingia na watendaji majeshi na mahakimu wapya? Kila rais alieingia aliwakuta watendaji na alifanyanao kazi kupiti ilani yakeWanabodi,
Hili ni bandiko la swali la tathmini kuhusu upinzani kuweza kuchukua nchi uchaguzi wa 2020. Kwa upande wa huku Tanzania Bara, ulizungumzia upinzani ni unazungumzia Chadema, hivyo hili bandiko kuihusu Chadema, as a representative wa upinzani kwa huku Tanzania Bara, vipi kuhusu Chadema, seriousness yake, its abilities and the capabilities kuelekea uchaguzi wa 2020. Hivi CHADEMA, hii, hivi ilivyo, inawezo wa kushinda uchaguzi wa 2020?, na hata ikatokea ikashinda kwa muujiza tuu kama wa Kenya, Zambia na Malawi, jee inaweza kuendesha nchi?. Is it a Serious Party?, is it Capable, is it Credible?. Is it Organized?, does it have Succession Plan?. Is it Mature Enough Opposition, Kuweza Kukabidhiwa Nchi yetu 2020?!.
Maswali haya ni kufuatia tathmini yangu jinsi Chadema inavyo deal na baadhi ya issues mbalimbali na ndogo ndogo tuu ikiwemo the current one ya uteuzi wa wawakilishi wake kwenye Bunge la EALA. Chadema kuna wakati ina behave childish na ikikwama kwa kutofuata sheria, taratibu na kanuni, ina pandisha na kupaza loud noises za baby cry kuwa inaonewa!.
Kutawala nchi sio jambo dogo au jambo la mchezo mchezo. Ikulu yetu haipaswi kugaiwa kwa majaribio bali kwa uhakika, tutakaye mkabidhi ikulu yetu ni lazima kwanza atuthibitishie amekomaa, na anawezo, mature enough with the abilities and capabilities, na sio tuu kumpa mtu ikulu yetu kwa kumjaribishia simply kwa sababu tuu CCM imeshindwa hili na lile na baadhi ya watu wameichoka sana CCM mpaka basi!.
CCM inaendelea kushinda na kuchaguliwa mwaka hadi mwaka, na itaendelea kuchaguliwa sio kwa sababu CCM is the best party, au CCM imeweza au inauwezo kivile!, no!. CCM has failed this nation, since then, CCM imeshindwa na ilishindwa siku nyingi na inaendelea kushindwa, kwa kufanya madudu mengi tuu ya ajabu ajabu, lakini bado imekuwa ikiendelea kushinda kwa kuchaguliwa mwaka hadi mwaka kwa mazoea tuu kwa sababu, Tanzania bado hatuna mbadala muafaka wa kuiondoa CCM!.
Yaani Tanzania bado hatuna any serious, capable and a credible opposition party ya kuwapa wapiga kura wa Tanzania a choice to choose from, hivyo CCM kujikuta ikiendelea kuchaguliwa na kushinda kwa ku sail through na upepo wa mazoea, kwa sababu ndio the only one iliyopo!, we have no any serious, capable na credible choice to choose from, hivyo we have no choice. Matokeo yake ni CCM inashinda kwa an easy ride ya mazoea na itaendelea kushinda na kushinda tena na tena mpaka tutakapo pata a credible opposition such that we'll have a choice to choose from!.
Kwa Zanzibar hakuna ubishi kuhusu uwezo wa CUF as a credible opposition kuweza kutawala Zanzibar, lakini kwa upande wa huku Tanzania Bara, bado kabisa hatuna any serious, capable and a credible opposition ya kuiondoa CCM na kuikabidhi Ikulu yetu.
CHADEMA ndio angalau angalau wameonyesha nia na dalili za kuweza kuaminiwa, na kiukweli wakiamua, wanaweza kabisa, ila natatizwa na haya madudu yao madogo madogo yanayo onyesha all signs za immaturity kwa upande wa Chadema, such that bado ni chama ambacho hakijaonyesha ukomavu wa kutosha enough to convince Tanzanians kuikabidhi ikulu yetu comes 2020, waipige chini CCM na kuikabidhi Chadema Ikulu yetu ya Magogoni.
Jee kwa maoni yako, unaiona Chadema as a credible,capable na serious opposition, iliyokomaa na kuwa mature enough with the ability, capability and credibility ya kukabidhiwa ikulu yetu 2020?.
Kwa upande wangu, honestly, I don't think, ila kabla sijasema why I don't think and what should we do, naomba kupata mawazo yako, assuming uchaguzi wa Tanzania utaendeshwa kwa uhuru na haki, na chama kitakacho shinda kimeshinda kwa haki, Jee Chadema hata kikishinda, kinauwezo?. Kimeonyesha uwezo wa utayari wa kutawala nchi endapo kitashinda uchaguzi 2020?. Ila kabla hata hakijashinda huo uchaguzi wa 2020, kwa Chadema hii tunayoiona sasa, jee inao huo uwezo wa kushinda?.
Na hata tukiachana na udhaifu wa upinzani imara, everything has it's limits, suppose CCM imewafikisha Watanzania at their limits wakaamua sasa imetosha, they've had enough of CCM and now they are fed up hivyo kuamua liwalo na liwe, wakaipiga chini CCM kwenye sanduku la kura na kuichagua Chadema, jee CCM itakubali kuachia?. Can you just imagine mtu aliyepo Ikulu kukabidhi madaraka sijui kwa nani hiyo 2020, is it possible?.
Kuna mtu yoyote ameishawahi kusikia maandalizi yoyote ya succession plan ya changing arms kwa vyombo vya serikali, na vyombo vyetu vya dola na vyombo vya ulinzi na usalama, kujiandaa kukitumikia chama kingine chochote nje ya CCM?.
Kwanza tuu hata ikatokea Watanzania wengi zaidi wakaichoka CCM na kuipiga chini kwenye sanduku la kura, jee huyo mshindi halali atatangazwa?!, na Tume hii hii?!, Au inawezekana zoezi zima la uchaguzi wa vyama vingi ni kwenye ubunge tuu na udiwani, lakini kwenye urais, licha ya the playing field kutokuwa level, inawezekana uchaguzi wa rais ni igizo tuu la uchaguzi?!.
Nawatakia Furahi Dai Njema.
Paskali.
Rejea.
CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga! - jamiiforums.com
CHADEMA: Tujadili Utayari wa Kutawala Nchi 2015 | Page 7 ...
Kuelekea 2020: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If ...
Kuelekea 2020: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM ...
CHADEMA Ikipewa Nchi, October 2020, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala ...
Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi ...
Kuichagua tena CCM, Je ni kielelezo cha kufanya informed decision ...
Ikitokea CCM ishinde, Je ushindi huo ni kutokana kuwekeza kwenye ...
Watanzania ni ignorants au tumelogwa?
CHADEMA Hamkujipanga, hamjajipanga, hamjipangi na hamtajipanga ...
Wenye Matumaini na Upinzani Kushika Dola!, Sahauni! CCM Inajiandaa Kuua Kabisa na Kuuzika Jumla
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...
Lizarazu
Mnanishangaza sana wasomi wa Tz, kwahiyo Deep state or whateva u call them waliona Kikwete na Lowassa walikua matured enough kuongoza Dola licha ya ufisadi wa kutisha awamu ya 5? Wamemuona Magufuli ndio best candidate wa kuwa Rais? Tukiwa serious tu Is JPM a perfect candidate mentally fit enoigh for office? Ana attitude ya leadership? Ile aggressiveness ni ya Mtu ambaye ni Rais? Hana compromise hana kuleta watu pamoja ila anachojua ni kuwakandamiza wengine then unaona deep state ilimpitisha?
Anyway kama system Ilionaga Mwinyi anafaa kuwa Rais basi sioni ajabu hata Lissu kupewa nchi. Afterall taasisi zote zinaongozwa na wataalam sio wanasiasa mfano BOT kwani akiingia Lissu watakua affected vipi? Si wataalam wake ni wale wale? Ina maana system haiwezi mcontrol Rais akiingia madarakani?
Hizi kauli zenu huwa zinanishangaza sana
Dah maelezo yako yanatisha na kuogopesha mno hasa uliposema hatuwezi kumpa nchi mtu kienyeji wewe na nani? (Ikulu sio mahali pa mchezo) kwani ikulu ni ya nani? Au unafikiri cdm wataingia na watendaji majeshi na mahakimu wapya? Kila rais alieingia aliwakuta watendaji na alifanyanao kazi kupiti ilani yake
Kinachoangaliwa ni ilani tu watendaji wa kuitekeleza wao wapo tu labda utuambie tatizo la ilani utuchambulie ni wapi cdm watashindwa kuhusu mawaziri watu wapo wengi tena wasomi hata ww inawezekana ukachaguliwa nani alijua kabudi ataweza kina kabudi ktk nchi hii ni wengi sanaaaa
Swali la kijinga kabisa kuulizwa na learned person. Kwani kazi ya chama cha siasa ni nini hasa kwa uelewa wako?Mkuu Mafiningo , jee Tanzania tuna a serious and credible opposition ya kuweza kukabidhiwa nchi?.
P
Mkuu Gerald .M Magembe , kuna kitu kikubwa sana unakizungumza hapa kuhusu uchaguzi, kushinda kura na kukabidhiwa nchi.
Kule Zanzibar kuna dhana kuwa kila siku kuna mtu anashinda lakini hapewi!. Kuna mtu akasema "Zanzibar ni nchi ya kimapinduzi, mtu hawezi kukabidhiwa nchi kwa kipande cha karatasi ".
Mimi kabla ya uchaguzi wa 2015 nikawashauri kama ni kweli kuna mtu huwa anashinda lakini hapewi, lazima kuna sababu inayofanya hapewi, nikawashauri, waitafute hiyo sababu ili kabla hawajaingia kwenye uchaguzi Mkuu mwingine wahakikishe hiyo sababu inayofanya asipewe imeshughulikiwa ili akishinda apewe, hakuna aliyejishughulisha kutafuta sababu.
Na kweli kwenye uchaguzi wa 2015 kule Zanzibar, CUF ilikuwa inaelejea kushinda ila kabla ya ushindi kutangazwa, meza ikapinduliwa!.
Elections 2015 - Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda
Sasa uchaguzi huu wanajaribu tena bila kujua hizo sababu.
Kwa upande wa uchaguzi wa huku bara, hata mimi niliwahi kuuliza suppose CCM imeshindwa, huyo mshindi atapewa?, atatangazwa?.
Kwenye bandiko hili, kwenye last line, kuna kitu niliuliza
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Jee Systems ziliandaliwa kuweza kumsarve a different master?. Suppose Chadema ndio ishinde, TL awe CinC?!, can you imagine?. Jee nchi inakabidhiwa kwa votes or vetting?.
Hebu tuelimishe kwa uchaguzi wetu electro collage zetu ni zipi zitakazo fanya hata Chadema ikishinda electro votes bado haiwezi kupewa nchi kwasababu haijaonenyesha maturity, ability, capacity na capabilities, ili kuwa entrusted na Ikulu yetu?.
P