Je, Chadema ni Chama Cha Kanisa au kimejenga mahusiano mazuri tu na Kanisa?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Katibu mkuu wa Chadema baada ya Kuuawa Kwa Ali Mohamed Kibao alikuwa anahitajika Polisi kutoa maelezo lakini yeye akaenda kujificha Kanisani Msimbazi center

Leo Makamu Wenyeviti wa Chadema mh Tundu Lisu anesema Yeye na mwenyekiti wake mh Freeman Mbowe Kwa Siku 3 walikuwa Kanisani Msimbazi center wakisuluhishwa na shahidi ni Katibu mkuu Mseminari J J Mnyika

Ndio tunajiuliza Chadema ni Chama Cha Kikanisa au Ikoje?

Kwako Malaria 2 na Lucas Mwashambwa 😂🔥
 
Wee Mwehu hufahamu kuwa Msimbazi center kuna kumbi za mikutano?
 
Katibu mkuu wa Chadema baada ya Kuuawa Kwa Ali Mohamed Kibao alikuwa anahitajika Polisi kutoa maelezo lakini yeye akaenda kujificha Kanisani Msimbazi center

Leo Makamu Wenyeviti wa Chadema mh Tundu Lisu anesema Yeye na mwenyekiti wake mh Freeman Mbowe Kwa Siku 3 walikuwa Kanisani Msimbazi center wakisuluhishwa na shahidi ni Katibu mkuu Mseminari J J Mnyika

Ndio tunajiuliza Chadema ni Chama Cha Kikanisa au Ikoje?

Kwako Malaria 2 na Lucas Mwashambwa 😂🔥
Ewe maamuma hufahamu kuwa msimbazi center ni MEETING POINT ya vikao mbalimbali kama harusi, send off na hata vya. Namna yoyote
 
Haya mambo kaleta Mwenyekiti mpya wa CDM,

Hivi utaongoza chama kila kitu hadharani?

Wanaotaka uwazi wa aina hii hawaipend CDM...

Uwazi sio ulimbukeni na uzumbukuku wa kusema kila kitu
 
Kuna kitu hapa Lisu ni mgumu hata kuficha siri,hana subira ila ashauriwe uenyekiti mkubwa kama wa Chadema akiupata anahitaji koo la kuficha siri
 
Baada ya ajenda kujadiliwa na kupitishwa hakuna siri tena!
 
Hili ni doa kubwa sana

Kama wanakaa vikao vya kisiasa kanisani, unadhani wakichukua nchi si watakuwa wanaendeshwa kwa remote control na kanisa?

Kwa hii move peke yake wameshakosa kura kibao za waislamu na watu wengine wasio wakiristo!.

Hii Saga imeshawadamage sana tayari
Sema wewe mkuu..

Kwenye siasa sio kila kitu cha kusema ..
Hisia za Waislam, Wasabato, Wpaagani una zi reconcile vip
 
Katibu mkuu wa Chadema baada ya Kuuawa Kwa Ali Mohamed Kibao alikuwa anahitajika Polisi kutoa maelezo lakini yeye akaenda kujificha Kanisani Msimbazi center

Leo Makamu Wenyeviti wa Chadema mh Tundu Lisu anesema Yeye na mwenyekiti wake mh Freeman Mbowe Kwa Siku 3 walikuwa Kanisani Msimbazi center wakisuluhishwa na shahidi ni Katibu mkuu Mseminari J J Mnyika

Ndio tunajiuliza Chadema ni Chama Cha Kikanisa au Ikoje?

Kwako Malaria 2 na Lucas Mwashambwa 😂🔥
Swali kwenu wote mnaoulizana swali hilo,kipi bora kinachojenga uhusiano mzuri na dini,au kinachojenga uhusiano mzuri na shetani?
 
Hili ni doa kubwa sana

Kama wanakaa vikao vya kisiasa kanisani, unadhani wakichukua nchi si watakuwa wanaendeshwa kwa remote control na kanisa?

Kwa hii move peke yake wameshakosa kura kibao za waislamu na watu wengine wasio wakiristo!.

Hii Saga imeshawadamage sana tayari
Mbowe ndio aliomba kupatanishwa na viongozi wa dini. Viongozi wa dini wakamtafuta lissu ili wapatanishwe, hapo lissu ilibidi akatae? Wa kuulizwa Ni mbowe kwa nini alienda kwa viongozi wa dini ili wapatanishwe na Lissu
 
Katibu mkuu wa Chadema baada ya Kuuawa Kwa Ali Mohamed Kibao alikuwa anahitajika Polisi kutoa maelezo lakini yeye akaenda kujificha Kanisani Msimbazi center

Leo Makamu Wenyeviti wa Chadema mh Tundu Lisu anesema Yeye na mwenyekiti wake mh Freeman Mbowe Kwa Siku 3 walikuwa Kanisani Msimbazi center wakisuluhishwa na shahidi ni Katibu mkuu Mseminari J J Mnyika

Ndio tunajiuliza Chadema ni Chama Cha Kikanisa au Ikoje?

Kwako Malaria 2 na Lucas Mwashambwa 😂🔥
Msimbazi Center Kuna Kumbi za mikutano na sherehe!
 
Kuna kitu hapa Lisu ni mgumu hata kuficha siri,hana subira ila ashauriwe uenyekiti mkubwa kama wa Chadema akiupata anahitaji koo la kuficha siri
Lisu ni mkatoliki asiyejua kutunza siri
Mbowe sio mkatoliki ila hiyo siri alificha
Lisu muda wowote aweza wataja hata huyo Askofu aliyeaandaa hicho kikao
Hana nidhamu kwenye ulimi huyo Lisu

Kama yuko Askofu aliyeandaa hicho kikao ajiandae asije kuwa mwanachama wa CHADEMA au anatoka Kilimanjaro kumtetea Mbowe wa kwao

Lisu mlipukaji hajali siri yule atamwanika ndio maana Viongozi wanaojiheshimu kama Kardinali Pengo hukaa mbali na Lisu

Viongozi wa dini kaeni mbali na Lisu network ya kichwa na mdomo huwa havina connection
 
Hili ni doa kubwa sana

Kama wanakaa vikao vya kisiasa kanisani, unadhani wakichukua nchi si watakuwa wanaendeshwa kwa remote control na kanisa?

Kwa hii move peke yake wameshakosa kura kibao za waislamu na watu wengine wasio wakiristo!.

Hii Saga imeshawadamage sana tayari
Usiwe mjinga hakuna kikao kinachoweza kufanyika kanisani! Katika maeneo ya makanisa kuna kumbi za mikutano chungu nzima,au hilo hulijui?
 
Back
Top Bottom