johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wee Mwehu hufahamu kuwa Msimbazi center kuna kumbi za mikutano?Katibu mkuu wa Chadema baada ya Kuuawa Kwa Ali Mohamed Kibao alikuwa anahitajika Polisi kutoa maelezo lakini yeye akaenda kujificha Kanisani Msimbazi center
Leo Makamu Wenyeviti wa Chadema mh Tundu Lisu anesema Yeye na mwenyekiti wake mh Freeman Mbowe Kwa Siku 3 walikuwa Kanisani Msimbazi center wakisuluhishwa na shahidi ni Katibu mkuu Mseminari J J Mnyika
Ndio tunajiuliza Chadema ni Chama Cha Kikanisa au Ikoje?
Kwako Malaria 2 na Lucas Mwashambwa ππ₯
Keshakunywa Chibuku.Wee Mwehu hufahamu kuwa Msimbazi center kuna kumbi za mikutano?
Ewe maamuma hufahamu kuwa msimbazi center ni MEETING POINT ya vikao mbalimbali kama harusi, send off na hata vya. Namna yoyoteKatibu mkuu wa Chadema baada ya Kuuawa Kwa Ali Mohamed Kibao alikuwa anahitajika Polisi kutoa maelezo lakini yeye akaenda kujificha Kanisani Msimbazi center
Leo Makamu Wenyeviti wa Chadema mh Tundu Lisu anesema Yeye na mwenyekiti wake mh Freeman Mbowe Kwa Siku 3 walikuwa Kanisani Msimbazi center wakisuluhishwa na shahidi ni Katibu mkuu Mseminari J J Mnyika
Ndio tunajiuliza Chadema ni Chama Cha Kikanisa au Ikoje?
Kwako Malaria 2 na Lucas Mwashambwa ππ₯
Baada ya ajenda kujadiliwa na kupitishwa hakuna siri tena!Haya mambo kaleta Mwenyekiti mpya wa CDM,
Hivi utaongoza chama kila kitu hadharani?
Wanaotaka uwazi wa aina hii hawaipend CDM...
Uwazi sio ulimbukeni na uzumbukuku wa kusema kila kitu
Sema wewe mkuu..Hili ni doa kubwa sana
Kama wanakaa vikao vya kisiasa kanisani, unadhani wakichukua nchi si watakuwa wanaendeshwa kwa remote control na kanisa?
Kwa hii move peke yake wameshakosa kura kibao za waislamu na watu wengine wasio wakiristo!.
Hii Saga imeshawadamage sana tayari
Swali kwenu wote mnaoulizana swali hilo,kipi bora kinachojenga uhusiano mzuri na dini,au kinachojenga uhusiano mzuri na shetani?Katibu mkuu wa Chadema baada ya Kuuawa Kwa Ali Mohamed Kibao alikuwa anahitajika Polisi kutoa maelezo lakini yeye akaenda kujificha Kanisani Msimbazi center
Leo Makamu Wenyeviti wa Chadema mh Tundu Lisu anesema Yeye na mwenyekiti wake mh Freeman Mbowe Kwa Siku 3 walikuwa Kanisani Msimbazi center wakisuluhishwa na shahidi ni Katibu mkuu Mseminari J J Mnyika
Ndio tunajiuliza Chadema ni Chama Cha Kikanisa au Ikoje?
Kwako Malaria 2 na Lucas Mwashambwa ππ₯
Mbowe ndio aliomba kupatanishwa na viongozi wa dini. Viongozi wa dini wakamtafuta lissu ili wapatanishwe, hapo lissu ilibidi akatae? Wa kuulizwa Ni mbowe kwa nini alienda kwa viongozi wa dini ili wapatanishwe na LissuHili ni doa kubwa sana
Kama wanakaa vikao vya kisiasa kanisani, unadhani wakichukua nchi si watakuwa wanaendeshwa kwa remote control na kanisa?
Kwa hii move peke yake wameshakosa kura kibao za waislamu na watu wengine wasio wakiristo!.
Hii Saga imeshawadamage sana tayari
Msimbazi Center Kuna Kumbi za mikutano na sherehe!Katibu mkuu wa Chadema baada ya Kuuawa Kwa Ali Mohamed Kibao alikuwa anahitajika Polisi kutoa maelezo lakini yeye akaenda kujificha Kanisani Msimbazi center
Leo Makamu Wenyeviti wa Chadema mh Tundu Lisu anesema Yeye na mwenyekiti wake mh Freeman Mbowe Kwa Siku 3 walikuwa Kanisani Msimbazi center wakisuluhishwa na shahidi ni Katibu mkuu Mseminari J J Mnyika
Ndio tunajiuliza Chadema ni Chama Cha Kikanisa au Ikoje?
Kwako Malaria 2 na Lucas Mwashambwa ππ₯
Kuna Kanisa, nyumba za mapumziko Watawa na Mapadre na Boss wa compound yote ni Paroko ππMsimbazi Center Kuna Kumbi za mikutano na sherehe!
Lisu ni mkatoliki asiyejua kutunza siriKuna kitu hapa Lisu ni mgumu hata kuficha siri,hana subira ila ashauriwe uenyekiti mkubwa kama wa Chadema akiupata anahitaji koo la kuficha siri
Usiwe mjinga hakuna kikao kinachoweza kufanyika kanisani! Katika maeneo ya makanisa kuna kumbi za mikutano chungu nzima,au hilo hulijui?Hili ni doa kubwa sana