Pre GE2025 Je, Chadema ni Wabaguzi? Kwanini walitaka Wao na CCM tu Ndio Watoe Mawazo ya Tume Huru ya Uchaguzi itakavyoundwa na kuvitenga Vyama vingine?

Pre GE2025 Je, Chadema ni Wabaguzi? Kwanini walitaka Wao na CCM tu Ndio Watoe Mawazo ya Tume Huru ya Uchaguzi itakavyoundwa na kuvitenga Vyama vingine?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kama ni Kweli Chadema walishauri Vyama vingine visiingizwe kwenye Mijadala wa Marekebisho ya NEC bali Wawe Wao na CCM tu, basi demokrasia ya nchi yetu ipo mbali

Wengi tulihoji hapa Jf Kwanini Maridhiano ya Chadema na CCM mh Mbowe ameyafanya kuwa Siri?

Hata Lisu na Lema wakiwa uhamishoni Ulaya waliapa watakapotua tu nchini litaitishwa Baraza Kuu ili Mwenyekiti awape mrejesho wa Maridhiano atake asitake

Hatimaye Leo CCM imetegua kitendawili Cha Maridhiano
 
Ndio maana Mbowe alipokuwa KUB alikuwa akivitenga vyama vyenye uwakilishi mdogo bungeni mafao yote alivuta yeye!
 
Mbona hoja za uuzwaji wa bandari kinana anagoma kuziongelea?
 
Back
Top Bottom