Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Kwani alienda jela kwa sababu ya kunyimwa ruzuku. Naona kama kuachiwa kwake kumewachanganya sana hamko logical kabisa.Waungwana,
Uongozi wa Chadema chini ya Mbowe ulitangazia watanzania uamuzi wa kususia ruzuku hadi pale kutakapokuwa na "tume huru ya uchaguzi" na katiba mpya.
Hadi sasa mambo yako vilevile na hakuna dalili ya mabadiliko.
Je Mbowe ataendelea kugomea ruzuku hata baada ya kutoka jela?
Sasa hao wabunge watakaochaguliwa kwanini wakiwa loyal rumble kwa mwenyekiti?Soon wabunge halali watapelekwa bungeni na CHADEMA watakuwa chama kikuu cha upinzani na watasikika tena
Jikite kwenye hojaKwani alienda jela kwa sababu ya kunyimwa ruzuku. Naona kama kuachiwa kwake kumewachanganya sana hamko logical kabisa.
Jikite kwenye hojaSoon wabunge halali watapelekwa bungeni na CHADEMA watakuwa chama kikuu cha upinzani na watasikika tena
Kitendo cha Mbowe kuachiwa kwa Nolle, japo ni ya DPP, ukweli hii ni kazi ya Mama SA100, hivyo hapa Mama kaupiga mwingi!. Ame change the whole political dynamics za siasa za upinzani Tanzania.Waungwana,
Uongozi wa Chadema chini ya Mbowe ulitangazia watanzania uamuzi wa kususia ruzuku hadi pale kutakapokuwa na "tume huru ya uchaguzi" na katiba mpya...
Mmeambiwa muache siasa kwenye mambo ya kisheria.Kitendo cha Mbowe kuachiwa kwa Nolle, japo ni ya DPP, ukweli hii ni kazi ya Mama SA100, hivyo hapa Mama kaupiga mwingi!. Ame change the whole political dynamics za siasa za upinzani Tanzania. Kinachofuata ni Chadema itayatambua rasmi matokeo ya uchaguzi na kupeleka majina mapya 19 ya wabunge wa viti maalum. Mikutano ya siasa itaruhusiwa, Tume ya uchaguzi iterekebishwa kuundwa Tume huru shirikishi. Chadema itapokea ruzuku na mambo sasa ni shwari.
P
Kitendo cha Mbowe kuachiwa kwa Nolle, japo ni ya DPP, ukweli hii ni kazi ya Mama SA100, hivyo hapa Mama kaupiga mwingi!. Ame change the whole political dynamics za siasa za upinzani Tanzania. Kinachofuata ni Chadema itayatambua rasmi matokeo ya uchaguzi na kupeleka majina mapya 19 ya wabunge wa viti maalum. Mikutano ya siasa itaruhusiwa, Tume ya uchaguzi iterekebishwa kuundwa Tume huru shirikishi. Chadema itapokea ruzuku na mambo sasa ni shwari.
Shana nzima ya nolleKitendo cha Mbowe kuachiwa kwa Nolle, japo ni ya DPP, ukweli hii ni kazi ya Mama SA100, hivyo hapa Mama kaupiga mwingi!. Ame change the whole political dynamics za siasa za upinzani Tanzania. Kinachofuata ni Chadema itayatambua rasmi matokeo ya uchaguzi na kupeleka majina mapya 19 ya wabunge wa viti maalum. Mikutano ya siasa itaruhusiwa, Tume ya uchaguzi iterekebishwa kuundwa Tume huru shirikishi. Chadema itapokea ruzuku na mambo sasa ni shwari.
P
Waungwana,
Uongozi wa Chadema chini ya Mbowe ulitangazia watanzania uamuzi wa kususia ruzuku hadi pale kutakapokuwa na "tume huru ya uchaguzi" na katiba mpya.
Hadi sasa mambo yako vilevile na hakuna dalili ya mabadiliko.
Je Mbowe ataendelea kugomea ruzuku hata baada ya kutoka jela?