johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ujasiri ni Kitu kilichoumbwa ndani ya mtu mmoja mmoja Lakini Watu hao wakitambuana na kuunda kikundi ndio huwa kama Chama Cha siasa.
Kwa Sasa pale Chadema naona wale Wanachama Jasiri wote wako upande wa Tundu Lisu huku lile Kundi la Waoga Waoga likiwa limesusa na kuanzisha kampeni ya kumkejeli Lisu kama wafanyavyo akina Mahmoud Abbas
Ndio nauliza Chadema Wanaweza kuwa Jasiri kama vile Vidume Vya Hamas vilivyomnyoosha king'ang'anizi wa Madaraka General Benjamin Netanyahu?
Jumapili Njema