Engineer Petii
Member
- May 21, 2023
- 77
- 73
Mara Nyingi Niwapo Kwenye Shughuli Zangu Za Kutafuta Riziki Lazma Nitumie Chakula cha Mama Ntilie Alie Karibu na Kazi Yangu!
Au Naweza Agiza Mtandaoni Pia !
Sijawai Pata Elimu Nzuri Kuhusu Amira!
Huwa Nasikia tu Watu Wakisema Amira sio nzuri lakini hawatoi Maelezo!
So huwa nikitumia Vyakula vya Mgahawani nakua na hofu tu muda wote!
Naomba Kujua Wana JF ! Ina MADHARA GANI? NA JE KWA WANAOFAHAMU KUHUSU STORY ZA HAWA MAMA NTILIE HUWA WANATUMIA?