Engineer Petii
Member
- May 21, 2023
- 77
- 73
Sidhani kama Ina madhara kwani baadhi ya vyakula inawekwa ni lazima kulingana na pishi husika ila kilakitu kikizid Huwa sio kizuri Kwa afya
Nami nilisikia Ina madhara japo sijafatilia now watu wamebadili kidogo wanatumia foilNilishuhudia mama ntilie anapika ugali, wali na pilau.... katika sufuria tofauti... Vikikaribia kuiva anafunika kwa juu na mifuko ya plastic Ile ya transparent iliyopigwa marufuku.... Madhara yake sijui Ni yapi....!!!!