Nenda mkapa pale siku ya simba na yanga kisha chukua takwimu ya wanaoingia waliochanja na wasio chanja ndio utajua.Mimi nampongeza sana mama kaamua kuruhusu chanjo Kama ambavyo nchi zote wanafanya hatuwezi kujitenga na dunia mpaka lini tungeendelea kuogopa mikusanyiko wakati wenzetu walishaachana na matumiz ya barakoa kila kapata chanjo yake
Unampongeza kwa kukopa hela au maana sahz tunadaiwa zaidi ya 70 trionMimi nampongeza sana mama kaamua kuruhusu chanjo Kama ambavyo nchi zote wanafanya hatuwezi kujitenga na dunia mpaka lini tungeendelea kuogopa mikusanyiko wakati wenzetu walishaachana na matumiz ya barakoa kila kapata chanjo yake
Unampongeza kwa kukopa hela au maana sahz tunadaiwa zaidi ya 70 trion
Kila rais alikopa ata mtangulizi wake alifanya hivyo pia tena mkopo huo ni Kama msaada sababu masharti ni nafuuUnampongeza kwa kukopa hela au maana sahz tunadaiwa zaidi ya 70 trion
Peace MakerNa yenyewe ikamfyeka ilivyokuwa haina akili Covid.
Eti peace maker.Peace Maker