Pics
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 240
- 181
Kuna sitofahamu inaendelea wilaya ya Tunduru-Ruvuma. Akina mama wakiwapeleka watoto kliniki wanazuiwa kupewa kadi za kliniki mpaka wachanjwe wanapata usumbufu kupata huduma za msingi.
Hapa Tunduru hatuna rekodi ya yoyote vifo vya korona toka ilipotokea huko Uchina Wuhan.
Wanajamiiforums chanjo hii ni mandatory?
Kuna tamko lolote
Hapa Tunduru hatuna rekodi ya yoyote vifo vya korona toka ilipotokea huko Uchina Wuhan.
Wanajamiiforums chanjo hii ni mandatory?
Kuna tamko lolote