Ni kama vile kuna watu wanalipwa kamisheni kwa hiyo kaziKuna sitofahamu inaendelea wilaya ya Tunduru-Ruvuma. Akina mama wakiwapeleka watoto kliniki wanazuiwa kupewa kadi za kliniki mpaka wachanjwe wanapata usumbufu kupata huduma za msingi.
Hapa Tunduru hatuna rekodi ya yoyote vifo vya korona toka ilipotokea huko Uchina Wuhan.
Wanajamiiforums chanjo hii ni mandatory?
Kuna tamko lolote