Je, Cheed na Killy kujitoa Kings Music kunahusiana na Zuchu kutoboa fasta ndani ya wiki??

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Je kuna ukweli wowote wa hizi tetesi kwamba vijana hao wamejitoa kwa sababu zuchu tayari kashaanza kuorodheshwa katika kinyanganyiro cha machipukizi bora na kuwa trending huko youtube??

1.Followers kutoka elf 50 hadi laki 2 ndani ya wiki, kina cheed wapo kitambo ila hawajafika huku




2. Video yake inabamba youtube


3.kaanza kutambulika kimataifa, hapa bate kaukwaa kuwemo kwenye listi ya machipukizi bora lwa africa.
 

Attachments

  • 1586976755132.png
    17.4 KB · Views: 2
  • 1586976929304.png
    22.9 KB · Views: 2
  • 1586977073885.png
    17.4 KB · Views: 2
Maelekezo yote na taarifa zote anatoa WAZIRI MKUU na WIZARA YA AFYA
 
Wazili mkuu na wazili wa afya wasemaji rasmi kwa kipindi iki
 
Tumia Barkoa
Nawa Mara Kwa Mara.
Epuka Mikusanyiko Isiyo Na Ulazima.
 
Nina usingizi au? Mbona comments kama za uzi tofauti na jamaa alichouliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…