Je, Chelsea tunaweza fanya makubwa mbele ya Barcelona?

Mshati940

Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
76
Reaction score
61
UCL is back again, na kama wewe ni mmoja wa mashabiki damu wa Chelsea, utakua unajua fixture iliyopo mbele yetu na jinsi timu ambavyo imekua na perfomance ya kuyumba kidogo hapo nyuma, Je kwa ushindi dhidi ya westbrom unaweza ongeza confidence na hamasa kuelekea game ya Barcelona? Na Conte haje na mbinu gani za kuwadhibiti wale jamaa[emoji838][emoji838][emoji838]
 
Tunapenya kiulaini sana, tutaushangaza ulimwengu. Anaebsha na aendelee kubisha.

[HASHTAG]#TheBlues[/HASHTAG]
 
Sitoshangaa mbona chelsea mbovu ya Di Matteo waliitoa barca wanaojuana wenye izo timu zote sizielewi
 
Chelsea ina record nzuri kwa barca; ila kama kante fab hazard na morata wakiwa form tutakalisha usihofu ule mziki wa messi tutakuwa waangalifu
 
UCL is back again, na kama wewe ni mmoja wa mashabiki damu wa Chelsea, utakua unajua fixture iliyopo mbele yetu na jinsi timu ambavyo imekua na perfomance ya kuyumba kidogo hapo nyuma, Je kwa ushindi dhidi ya westbrom unaweza ongeza confidence na hamasa kuelekea game ya Barcelona? Na Conte haje na mbinu gani za kuwadhibiti wale jamaa[emoji838][emoji838][emoji838]

Baada ya kuwafunga westbrom sio!!! 😀😀😀 mtakula nyingi sana subirini tu.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom