Je, Chelsea tunaweza fanya makubwa mbele ya Barcelona?

Umeona ee. Na bado camp nou mtaisoma,,
Camp nou kule mbeleko kibao,rejea mechi ya PSG.Hii Barca ni ya kawaida sana.Siyo team ya kutisha kama unavyoichukulia,Ikipangwa na team zinazojielewa hata 4 inapigwa kirahisi sana.
 
Camp nou kule mbeleko kibao,rejea mechi ya PSG.Hii Barca ni ya kawaida sana.Siyo team ya kutisha kama unavyoichukulia,Ikipangwa na team zinazojielewa hata 4 inapigwa kirahisi sana.

Tim inayojielewa kama ipi??

Madrid tumempia mara kibao, Psg tumempiga 6 kama unakumbuka, Arsenal, man city, Man u wote hao tumepiga. Sasa tim gani inayojielewa!! Mbao fc? Yanga or simba?

Tatizo lenu mkiona messi kafunga hampendi, kufunga ni kawaida sana kwa messi. Asipofunga anatengeneza na kutoa assist.
 
PSG zile 6 za kubebwa?,Goli halali pale zilikuwa 3 tu,zingine zote mbeleko.Kujiangusha,kulalamika na kuomba fouls zote hizo ni tabia zenu hasa mkiwa camp nou.Ndo maana kule Italy na France mlikula bao mingi tu.Messi hakuna mwenye shida naye hapa,wewe ndo hujiamini ndo maana unamtaja hata pasipohusika.Hapa tunaongelea Barcelona as a team.
 
Kabisa
 
Camp nou kule mbeleko kibao,rejea mechi ya PSG.Hii Barca ni ya kawaida sana.Siyo team ya kutisha kama unavyoichukulia,Ikipangwa na team zinazojielewa hata 4 inapigwa kirahisi sana.
Inayojielewa kama ipi sasa ambayo haijapokea kichapo kwa baselona hata Mara moja
 
Ball possession

CHELSEA 27-73 BARCA

Mnaenda home kufa nyingi___Messi Messii Messsiiiiii gol gool gooool
 
Chelsea mjikaze tu this time

Wazee wa kupaki basi hao.alafu mpira wao wanguvu mno. Messi anawasubiri kwa hamu na lengo lake awaonyeshe soka linavyochezwa.

Mwisho kabisa: washukuru sana kucheza na kiumbe huyu i mean the lion Messi coz watajifunza vitu vingi kutoka kwake.
 
Barcelona wanafungika tu. Tukienda Camp Nou, Conte anapaswa kuwa brave kidogo na kuweka Striker mmoja (Giroud) japo back three ya Barca iwe checked na wasipande pande hovyo kuja kwetu. A 4-5-1 formation will do. And no Bakayoko please!
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Eti goli halali ni 3 tu
 
Barcelona wanafungika tu. Tukienda Camp Nou, Conte anapaswa kuwa brave kidogo na kuweka Striker mmoja (Giroud) japo back three ya Barca iwe checked na wasipande pande hovyo kuja kwetu. A 4-5-1 formation will do. And no Bakayoko please!

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Mtakula 3 za chapp chapp,,, ninyi mkiscore kamoja tu si mnapaki bus!!!!!! Barca hicho kitu hakipo kamanda,, tunapiga huku tunaendeleza mashambulizi...nyie endeleeni na maguvu yenu ndo kazi mliyonayo wanablues "wazee wa kupack bus" πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…