Aksante nimeona link
But haijaelezea exactly how to make
Je ndugu yangu nikikusumbua huwezi saidia kinambia unatengenezaje Na Vitendea kazi vyake vyake Na upatikanaji wake hasa kwa hapa Dar?
Aksante nimeona link
But haijaelezea exactly how to make
Je ndugu yangu nikikusumbua huwezi saidia kinambia unatengenezaje Na Vitendea kazi vyake vyake Na upatikanaji wake hasa kwa hapa Dar?
ha ha ha,pokrei,,sikuhizi imformation ni hela,hiyo link ni mtu anauza information ambapo ukimpa hela atakueleza A to Z, namna ya kutengeza,vifaa vinavyotakiwa na vinapatikana maduka yapi na kwa bei ipi,sehemu zipi zinazofaa kuwekeza mradi husika,challenge zipi unatapa na vipi utaziovercome,unjanja wa kupata wateja etc,,kwahiyo mkuu wasiliana kwa hiyo namba kama una nia kweli akuelekeze namna gani utamlipa ili akuwekee full infor kwenye email,hapo kakupa introduction tu