Duh!Shida sio kuuziwa taarifa. Hawa jamaa wazinguaji kinoma..., matapeli balaa. Kuna kingine kipo singida kinaendeshwa na dada ake na mwenye chuo hiki. Kinaitwa city college wamepangisha pale jengo la walimu(cwt) mitaa ya mwenge. Ni matapeli kinoma. Wanakupokea ukitaka kusoma kozi yeyote hata kama haipo hapo(haijasailiwa), we lipa tu pesa Ako ndo utajua hujui.
Wanaokota walimu na wanatapeli. Hakuna mwalimu alipita pale bila kutapeliwa. Mwanafunzi anawaza kwenda pale akasema nataka nisome umeme. Wanaitikia sawa kozi ipo na inafundishwa wakati hamna chochote. we lipa tu pesa Ako ndo utajua. Watakuzungusha wee... Mwisho wa siku watakushauri ubadilishe kozi. Wanazulumu mpaka wamama ntilie.
Wanaweza wakaleta mwanafunzi wakamuungashia kwa mama ntilie wakati huo mwanafunzi amelipa ada. Wanampanga ma ntilie mhudumie dogo tutakulipa Hela Ako. Akikubali imekisha hyo.. hawatamlipa. Wanaweza kuwandanya wanafunzi.., kozi imesajiliwa mpaka level 3 mfano Kozi ya ICT kumbe kozi imesajiliwa level 2. Hawa jamaa ni matapeli ogopa.
Nimesoma Pale Mimi,Kipindi Bado hawajabadilisha Jina ! Kilikuwa Kinaitwa Musoma Utalii College. Mengi uliyoyasema ñi ya kweli! Sisi baadhi Yetu kwenye semester Yetu Tuliwafungulia Kesi na Wengine walirudishiwa Pesa zaoShida sio kuuziwa taarifa. Hawa jamaa wazinguaji kinoma..., matapeli balaa. Kuna kingine kipo singida kinaendeshwa na dada ake na mwenye chuo hiki. Kinaitwa city college wamepangisha pale jengo la walimu(cwt) mitaa ya mwenge. Ni anafunzi.., kozi imesajiliwa mpaka level 3 mfano Kozi ya ICT kumbe kozi imesajiliwa level 2. Hawa jamaa ni matapeli ogopa.
Chuo safi sana hikiNimesoma Pale Mimi,Kipindi Bado hawajabadilisha Jina ! Kilikuwa Kinaitwa Musoma Utalii College. Mengi uliyoyasema ñi ya kweli! Sisi baadhi Yetu kwenye semester Yetu Tuliwafungulia Kesi na Wengine walirudishiwa Pesa zao
Wewe ndo una mawazo mgandoWazazi wa wanafunzi waliomaliza kidato cha nne 2023 wamepokea ujumbe mfupi wenye taarifa halisi za watoto kutoka Chuo cha Tabora Polytechnic kilichopo Tabora mjini.
Ujumhe huo ulisomeka kuwa,
Mkuu wa chuo cha Tabora Polytechnic kilichopo Tabora mjini anakutangazia nafasi za masomo mzazi wa ......... Mwenye namba ........2023 katika kozi zifuatazo( kozi zimeorodheshwa kulingana na mchepuo aliofaulu mtoto husika kama ni Art au Science)
View attachment 2946641
Mara baada ya mmoja wa watu wangu wa karibu kupata ujumbe huo, alistuka kwani hajawahi kuwasiliana na hicho chuo kwa namna yoyote kwamba watakuwa wamepata namba za simu kutoka kwake mwenyewe.
Ndipo alopochukua hatua za kumtafuta mzazi wa aliyekuwa rafiki wa mwanaye shuleni hapo ili kuona kama naye katumia ujumbe huo. Mzazi huyo alithibitisha kuwa naye katumiwa ujumbe kama huo kwa jina la Mwanaye.
Akaamua kupiga namba inayoonekana kwenye ujumbe ili ahoji wamepata wapi namba ya simu ya mzazi wa mtoto husika, majina matatu na namba sahihi ya mtihani ya mtoto huyo.
Ndipo alipojibiwa kuwa kuna mawakala ambao huzunguka mashuleni, kukusanya/ kununua taarifa hizo za wanafunzi na kuwauzia wao hapo chuoni kupit8a Mkuu wa chuo, kisha wao huwatumia wazazi wa watoto jumbe za kiwajulisha uwepo wa kozi ili kuwaaloka wakasome hapo.
Jambo hili ni baya sana ambalo linaonekana kufanywa na shule ya Sekondari Ndono kuuza taarifa nyeti za wanafunzi wao na namba za simu za wazazi wao.
Jambo hili linakiuka sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi za watu.
Tobaaaah!! LolNimesoma Pale Mimi,Kipindi Bado hawajabadilisha Jina ! Kilikuwa Kinaitwa Musoma Utalii College. Mengi uliyoyasema ñi ya kweli! Sisi baadhi Yetu kwenye semester Yetu Tuliwafungulia Kesi na Wengine walirudishiwa Pesa zao
Chuo safi kivipi? Ubabaishaji Mwingi Sana ulikuwepo Kipindi Kile! Maybe kwasasa wamekiboresha!! Madudu yalikuwa Mengi Sana!! Walitangaza wanatoa Course nyingi,kumbe walikuwa na Course mbili au Tatu zilizokuwa zimesajiliwa!!Chuo safi sana hiki
Ulikuwa una soma uandishi wa habari?
Yule dogo alipataga ajali ya pikipiki chuoni una mkumbuka?
Mwanafunzi wa Kidato cha Nne akafanye nini UDSM?Wameomba mawasiliano wamepewa binafsi wanafunzi wangu wengi inaonekana Kuna mahali waliandika namba yangu napokea simu na sms Kila kukicha hadi kutoka UDSM
Kuna rafiki yangu lilimkuta jambo kama hilo, alipomaliza form six (hakuwa na vigezo vya kuendelea degree) mama wake akapigiwa simu na chuo kutoka Arusha akaambiwa mwanao amechaguliwa kujiunga na kozi ya clinical medicine, lakini huyo rafiki yangu hakuomba chuo Arusha na wala hajawahi kufika, mama akamfosi ikabidi aende.Wazazi wa Wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne 2023 wamepokea ujumbe mfupi wenye taarifa halisi za Watoto kutoka Chuo cha Tabora Polytechnic kilichopo Tabora Mjini.
Ujumbe huo ulisomeka kuwa,
Mkuu wa chuo cha Tabora Polytechnic kilichopo Tabora Mjini anakutangazia nafasi za masomo mzazi wa ......... Mwenye namba ........2023 katika kozi zifuatazo( kozi zimeorodheshwa kulingana na mchepuo aliofaulu mtoto husika kama ni Art au Science)
View attachment 2946641
Mara baada ya mmoja wa watu wangu wa karibu kupata ujumbe huo, alishtuka kwani hajawahi kuwasiliana na hicho chuo kwa namna yoyote kwamba watakuwa wamepata namba za simu kutoka kwake mwenyewe.
Ndipo alipochukua hatua za kumtafuta mzazi wa aliyekuwa rafiki wa mwanaye shuleni hapo ili kuona kama naye katumia ujumbe huo. Mzazi huyo alithibitisha kuwa naye katumiwa ujumbe kama huo kwa jina la Mwanaye.
Akaamua kupiga namba inayoonekana kwenye ujumbe ili ahoji wamepata wapi namba ya simu ya mzazi wa mtoto husika, majina matatu na namba sahihi ya mtihani ya mtoto huyo.
Ndipo alipojibiwa kuwa kuna mawakala ambao huzunguka mashuleni, kukusanya/ kununua taarifa hizo za wanafunzi na kuwauzia wao hapo chuoni kupit8a Mkuu wa chuo, kisha wao huwatumia wazazi wa watoto jumbe za kiwajulisha uwepo wa kozi ili kuwaaloka wakasome hapo.
Jambo hili ni baya sana ambalo linaonekana kufanywa na Shule ya Sekondari Ndono kuuza taarifa nyeti za wanafunzi wao na namba za simu za wazazi wao.
Ambacho hujaelewa na hutoelewa ni madhumuni ya mtoa mada.Wewe ndo una mawazo mgando
Wao wana Nia nzuri sana Tena sana hlo n jambo zuri Tena, mbna vyuo vinatangazwa kwenye Tv na redio,
Mm nlijua utasema n matapeli kumbe n watu sahihi kabsaa,
Umeongea pumba sana