Mbeba Lawama
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 1,059
- 3,504
Apa nmekuelewa kiongoz kama umepewa barua ya kufukuzwa kazi ikionyesha kama hujardhika na maamuz haya ukate rufaa tume ya utumish ndan ya izo Sku 45 unaweza shda na kurud kwenye ajira? Na je ukshapewa barua ya kufukuzwa kaz kwa taasis iz za umma nn knafata nkmansha barua haionyesh benefit zako n zp na utatakiwa kurudisha ktambulsho au name bage au kuna barua nyingne itafata baada ya kupewa hyo ya kufukuzwa kazBasi ndio nimekuambia mkuu usipoteze muda maana ana siku 45 za kuwasilisha rufaa yake japo hajaambiwa so ana advantage flan
Upo sahihi kabisa, Haki inapatikana mahakamani, TANESCO ni shirika lenye uwezo wa kushitaki na kushitakiwa.Kuna Jamaa anaitetea sana Tanesco, Tanesco imeundwa na watu , na watu inawezekana wamemkosea Jamaa kimakosa, usimtishie mwache afungue kesi hapate haki yake.
Ukifukuzwa kazi vyama vya wafanyakazi kazi yake ni kupaza sauti tu havina msaada.Unaanzia Tuico..halafu kuna idara ya kazi..
Huko umepita?
Kuhusu kurudisha mali za.Mwajiri atakupa maelekezo mengine nje ya barua ya uamuzi usiporudisha utapambana nae kwenye kujaziwa fomu za NSSF/LAPF. PSSSF. PPF nkApa nmekuelewa kiongoz kama umepewa barua ya kufukuzwa kazi ikionyesha kama hujardhika na maamuz haya ukate rufaa tume ya utumish ndan ya izo Sku 45 unaweza shda na kurud kwenye ajira? Na je ukshapewa barua ya kufukuzwa kaz kwa taasis iz za umma nn knafata nkmansha barua haionyesh benefit zako n zp na utatakiwa kurudisha ktambulsho au name bage au kuna barua nyingne itafata baada ya kupewa hyo ya kufukuzwa kaz