Solile
Member
- Jul 26, 2009
- 24
- 10
Salamu kwenu
Baada ya kumsikiliza mh Livingstone Lusinde akimwaga hotuba yake, kilichoniijia akilini ni kwamba kweli hizi communication skills tunazofundishwa Vyuoni ndio zinapaswa kuwa hivyo.
Binafsi nimesoma Ardhi wakati ikiwa uchini ya UDSM na Prof Maarafu wa UDSM alikuwa anafundisha pale lkn haswa kitu ambacho tulikuwa tunafundishwa ni English language vitu kama tenses, verbs na kadhalika, lkn baada ya kusoma Masters (nchi za wenzetu) nikasoma Communication skill, iliyokuwa na sura tofauti kabisana ya ARDHI na kuniacha na maswali kuhusu communication skill zetu.
Wenzetu wanafundisha communication skills kama namna ya communication sehemu mbali mbali, makazini, katika jamii katika presentations na mengineyo
Ukijaribu kuangalia wahitimu mbali mbali wa vyuoni kwetu, namna wanavyo communicate katika emails, au barua hata ku-approach media inasikitisha.
Matokeo yake ndio kama haya, baadhi ya waheshimiwa wanapoenda kuwasilisha ujumbe kwenye jamii bila hata kuanalyse makumdi ya watu atakaowautubia na kule anachoutubia. Bila kusahau hata ma super star wetu huwa wanajiongea yanayokuja bila kujali matokeeo ya kauli zao.