damian marijani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2010
- 695
- 466
Nshakusamehe kabla hata hujaomba msamaha,ila nilikua nakusubiri tu uombe ili nikamilishe msamaha wako!:smiling:samahani samahani samahani...mwe! siku zingine huwa naamka na mizaha kichwani. leo ni siku kama hiyo. nilifanya mzaha kwa bahati mbaya tu hapa. nakubali umeleta tatizo kutafuta solution hapa. samahani sikulipatia uzito unaostahili. umenisamehe?...au?
Thanx King'asti kiukweli katika suala la afya yangu hua sitaki uzembe.Like i said, muhimu ni kupata product ambayo uko comfortable. Kama hiyo bareback inakufaa its well and good. Hongera kwa kuwa responsible, dont take yourself for granted coz not everyone is.
Cheerz!