Je, course ya Health Information Science ni nzuri?

Violet Nkata

Member
Joined
Jun 3, 2021
Posts
12
Reaction score
2
Habar wapendwa,

Wakuu nilikuwa naomba kujuzwa kuhusu hii course ya health information science kuwa ina husu nn na je n nzuri. Nmemaliza kidato Cha nne mwaka jana nmefaulu kwa divsn 1 ya 12 na nmepangiwa chuo Cha afya mtwara kusomea course ya health information science asa mnanishauri nifanye nn juu ya hii course kwamba niisome au nibadilishe.

Naombeni ushauri wenu
 
Diploma ya ukatibu afya haina dili kwa ufaulu wako mara mia hata ukabadilishe usome Pharmaceutical Science au Nursing and Midwifery.
 
Diploma ya ukatibu afya haina dili kwa ufaulu wako mara mia hata ukabadilishe usome Pharmaceutical Science au Nursing and Midwifery.
Je, kubadili na kusomea clinical medicine katika chuo hko hko nilichopangiwa na serikali inawezekana?
 
Kijana hyo course kasome ndio kipaumbele cha serkali ka sasa kuwa na hao watu kwa ajili ya mifumo ambayo imefungwa hasa makusanyo. Nilikua nafahamu chuo kimja kinatoa kumbe na huko. Haijaanza hata miaka 2 haina na wataalamu kama ww ukimalza ajira inakufuata mwenyewe sio ww uifuate ajira.
 
Asnte mkuu,,,
Naomba unieleze mkuu kwan hii course ina husu nn?
Na je kwa level ya diploma Kuna uwezekano wa kupata mkopo au ukiunganixha na degree Kuna uwezekano wa mkopo??
 
Je, kubadili na kusomea clinical medicine katika chuo hko hko nilichopangiwa na serikali inawezekana?
Aiseee kubadili ni ngumu sana hasa kwa hizo post za moja kwa moja. Health Information system kweny afya ndo Scale ya chini
 
Mkuu mbn naambiwa hii course haina sokoo yaan hata sielew kwa kwl nahc kuchanganyikiwa
 
Kuepuka majuto mbeleni nenda kasome clinical medicine
 
Naombeni msaada wa maelezo juu hii coz tafadhali[emoji29]
Kwa kifupi hiyo kozi ni kama IT ya afya. Kama unapenda mambo ya IT kasome ila kama wadau walivyo shauri kwa nchi zetu hizi medicine, phamacy atleast na nursing ndio zinakimbiza. Ila kwa sababu umechaguliwa na kama haifai kubadili komaa nayo. Cha msingi jitahidi uwe bora na ujue vitu.
 
Hii course haikuwa ndoto yanguu kabisaa
 
Ckuijaza hii course mm nimechaguliwa na serikalii
Sidhani kama unaweza pangiwa kozi ambayo hujaichagua, ila kwa sababu umesema umechaguliwa basi Options ulizo nazo ni hizi.

1. Kubali yaishe uisome.

2. Fika chuo badilisha usome kozi uliyokua unaitaka.

3. Kama 1 na 2 haziwezekani, airisha mwaka uombe mwakani tena chuo.

3. Kama 1 na 2 haziwezekani, achana na chuo ulichopangiwa then apply vyuo vya private mwaka huu huu ili usome kozi unayo ipenda (kama application zipo wazi).

4. Kama 1 na 2 haziwezekani, kwasababu una ufaulu mzuri then mwaka huu huu apply shule za private uanze form5 ili usome PCB... then ukimaliza form6 na ukipata 1 au 2 uombe degree ya MD.

Chagua inayo kufaa, kila la heri.

NB: unless 'ujifunze kuipenda' ila kama ukisoma kozi usiyoipenda alafu uje ufanye kazi usiyo ipenda utapata 'frastresheni' (kama hujui maana 'frastresheni' google) alafu uanze kuilaumu serikali kukupangia kozi usiyo ipenda.
 
Serikali inapanga tu hata uwe ujachagua umechagua
Kuna mdogo wangu nilimuombea vyuo vya Engineering pale DIT na MUST, cha ajabu amepelekwa kusoma Accountancy CBE mwanza campus.
 
Nenda kasome Physiotherapist... Mbeya...ila private sponsored maana inabidi uombe upya
 
Serikali inapanga tu hata uwe ujachagua umechagua
Kuna mdogo wangu nilimuombea vyuo vya Engineering pale DIT na MUST, cha ajabu amepelekwa kusoma Accountancy CBE mwanza campus.
Aisee, basi kama hapendi akabadilishe..
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…