Je dada JIDE ni mjamzito? Mbona kawa mkali hivyo? Kanishukia kama mwewe huko inster

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Ee bhana ee yule dada yetu wa taifa komando machozi jide mwenyewe kanishukia kama mwewe huko inster

Mimi nilimuuliza swali ambalo liko fresh tu wala sikuona ubaya wake lakin jide alichonijibu aisee sitahau

Ni mara nyingi sana nimekuwa nikimuona akijibizana na watu hovyo hovyo mimi nikajua itakuwa wanamzingua jide wangu watu hawa, kumbe yeye ndo anazingua sijajua kwanini amekuwa mkali kias hicho

Iv dada jide una mimba nini? Mbona uko mkali sana siku hiz?
Umekuwaje komando wetu?

Wadau na wana saikolojia mbali mbali naomba kujua huyu dada yetu anasumbuliwa na nini mbona kawa mkali kias hicho


BOY FROM LONDON
 
LONDON BOY.
 
Lol, Kama hujawahi kutana nae unaweza hisi ni mtu mmoja peace sana.

Ila kwa binafsi japo sijamzoe na nilimeet nae mara moja nilijua ni mtu mwenye kujisikia sana. So hata hilo sishangai
 
Tatizo anavuta bangi saa zote. Alfajiri, mchana, jioni, saa sita, kiangazi, masika. Na hili jua la Bongo na bangi zenyewe siku hizi wanatia mavi lazima apagawe.
 
Nipate tu mke noe niondokane na
Huuu ubachela wa kuzunguka
jf ucku menene
 
Tatizo anavuta bangi saa zote. Alfajiri, mchana, jioni, saa sita, kiangazi, masika. Na hili jua la Bongo na bangi zenyewe siku hizi wanatia mavi lazima apagawe.
Bila shaka hua mnavuta wote
Sio bure
 
Mdada kuwa na hasira mara nyingi huenda au hutokana na:

Kuwa na pepo la hasira ndani mwake,

Kuwa na hasira na wanaume kutokana na ujauzito alio nao,

Kuwa muathirika wa HIV

Kuwa ana stress za kuachwa na wanaume na kudhalilishwa hivyo huwahukia

Kuwa kuna mtu siku au muda huo alimuudhi sana.


Sasa A BOY FROM LONDON kazi kwako usiulize tena maswali kama haya.
 
Mmezidi ushakunaku,kwa kuwa ni star mnataka aishi mnavyotaka nyie,wacha awaonyooshe....

Inster ni wapi???
 
ni kweli jide ni mja mzito,mimba sada ina muezi saba,na alifanyiwa upandikizi kwenye hspitali moha ujerumani kwa dr hoffmayer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…