Kujua kama ni utapeli fanya application, ikifika hatua ya kukutaka ulipe application fee ishia hapo na ndio utakua umepata jibuKuna tangazo la ajira nimeliona Facebook, wanadai ni wakala wa kuwapeleka vijana Canada na Dubai kufanya kazi. Na kwa maelezo zaidi wamedema tutembelee www.immigroup.com. Sasa Wakuu Kuna anayewafahamu vizuri hawa watu? Naambatanisha na tangazo lao hapa chini.
View attachment 1983802
View attachment 1983803