mim ni mtz lakini sijawahifika nje ya mbeya , nilikimbia Tanzania , 2010 kwenda south Africa ,nikaa 2 years then nikasepa hapa londrina Brazil, pia nimeishi nchi kama equador , Peru nasasa nimeamua ni ishi hapa londrina city Brazil ,, nawauliza wadui wa KE,na TZ hiv kuna miji huko ni mizuri kama ya south Africa au hapa Brazil