Je, dawa ya Misoprostol isipofanya kazi baada ya kuitumia, ni muda gani unatakiwa kupita ndio urudie kumeza?

ranjan

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
338
Reaction score
288
Wakuu bila shaka hamjambo, naomba kujua hivi dawa ya misoprostol isipofanya kazi baada ya kuitumia, ni muda gani unatakiwa kupita ndio urudie kumeza? wife kameza haijafanya kazi , ujauzito ni wa wiki tatu na siku kadhaa.msaada tafadhali
 
Mnataka kumuua rais wa siku zijazo nae amegoma kutoka
 
Mtu na mme wake mnatoa mimba? Mnahofia nn? Wauaji

Madame S
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…