Je dawa za kupunguza unene,vitambi na manyama uzembe zina madhara?

gwangufu

Member
Joined
Sep 29, 2017
Posts
26
Reaction score
13
Habarini wanabodi;
Kizazi cha digitali kimekuja na mambo kibao ambayo ni kutokana na uvivu na uzembe,kuna dawa nyingi za kupunguza vitambi na manyama uzembe,zipo za kupakaa,kunywa n.k,Je hizo dawa hazina madhara kwenye mwili wa binadamu kwa sasa na baadae?
Asanteni....
Karibu kwa ushauri na mawazo tuokoe maisha ya watanzania.
 
Dawa yangu ya Asili ya Mitishamba ya kupunguza,Unane,Kitambai,Uzito na trumbo haina madhara kwa afya ya binadamu ni dawa ya asili iliyotengenezwa kw anjia za kisasa vidonge aka Capsule kwa jina dawa yangu inaitwa Natural FitoForm Plus +.Ukihitaji dawa yangu Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…