Je, dhamana ya fedha hurudishwa?

MC Chere

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
586
Reaction score
400
Ni katika mijadala ya bush lawyers,ni kwamba dhamana ya mali zisizohamishika hurudishwa endapo hukumu imeshatolewa na kama uliambiwa dhamana ni fedha,basi fedha hairudishwi,je hapa pakoje wataalamu? mtutoe tongotongo tafadhali.
 
Kama amehudhuria kesi mpaka mwsho vzr dhamana yake inarudishwa mahakama huwa haibaki na pesa hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…