Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Mzee wa mafuta ya upako P.Diddy katika kesi yake inayoendelea. Je kuna uwezekano wa watu hawa kuitwa either kumtetea au kumkandamiza?
1. Diamond anasema walifanya yao ambayo hawezi yaweka in public je anaweza itwa chini ya kiapo akajielezea walichofanya?
2. Babu Tale Mbunge huyu naye anasema waliingia room kwa P.Diddy akiwa anafanyiwa massage. Huku anavuta jani kavu. Akamtizama Diamond namna flani. Kisha akamwambia aliyekuwa anamfanyia massage aondoke wabaki wao.
3. Burna Boy sina cha kuelezea zaidi. Alikuwa karibu sana na P.Diddy.
Hawa walikuwa jamaa zake wa karibu sana. Je P.Diddy anaweza kuwaita kama mashahidi upande wake?kuonesha kuwa yeye hana baya. Na amewasaidia wengi kiuchumi akiwepo Diamond ambaye nadhani ndo kipindi hicho hicho aliweza kurudi na Rose Royce?
RAFIKI WA KWELI NI RAFIKI WAKATI WA SHIDA.