Je, Dini ya kweli ni ipi?

Je, Dini ya kweli ni ipi?

third eye chakra

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2023
Posts
713
Reaction score
1,745
👉WAISLAMU 🕌husema UKRISTO ni DINI ya UONGO✔️

👉WAKRISTO ⛪husema UISLAMU ni DINI ya UONGO.✔️

SASA MIMI NAKUBALIANA NA WOTE KWAMBA UISLAMU🕌 na UKRISTO⛪ Ni DINI za UONGO✅

Watu wengi ukiwauliza Swali Kwamba Ebu nielezee MUNGU ni kitu gani, yukoje, anafanya nn❓ Halafu mwambie asiishirikishe Biblia ama Quran , nakwambia kwa hakika hatokuwa na Jibu lolote kwasababu kakuzwa tayari akiwa kwenye mfumo wa Vitabu 📚hivi viwili vyenye chimbuko moja Yani Dola ya Kirumi(Roman Empire) hivyo Hana anachokijua Kwa sababu Hajawahi kutumia Akili yake Bali kakaririshwa Tena kupitia vitisho n. K

Akianza kukujibu , ooh! unajua Mungu alisema, sijui Mungu hapo mwanzo alifanya hivi na vile , mwambie bado unanukuu maandiko , mwambie nataka unijibu Nje ya Vitabu vya Mzungu na Mwarabu(biblia na Msahafu) ,kwa hakika kitakachofuata ni Kigugumizi😁... Fanya simple research (utafiti mdogo)utashuhudia mwenyewe hapo mtaani, kazini , shuleni kwenu n. K

DINI ya kweli ni ASILI YAKO(nature)
kanisa/msikiti wako wa kweli ni HII DUNIA 🌍
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 
Wapi imeandikwa UKRISTO NI DINI ?????
 
Amini unachoamini wewe
Hata mizimu sawa tu
Hata matambiko ni wewe tu na maamuzi yako
 
Kwamba huwa unawauliza Mungu ni Kitu gani!!!!
 
Kuhusu hao wakristo wengine wa ajabu ajabu sijui. Ila kuhuusu Ukristo wa katoliki unatambua mtu yeyote asiye mkatoliki anapaswa kutambuliwa kama mtoto wa Mungu na kanisa linapaswa kumuombea apate wokovu siku yake ya kufa kama ambavyo mkatoliki anavyopaswa kujiombea neema hiyo hiyo.

Thats why wakatoliki hawajawahi kuishambulia wala kuituhumu dini ya mtu mwingine yoyote kwa ubaya. Yani peace tuu
 
Hakuna dini ya kweli kwa sababu Mungu wa dini hayupo. Ule ni utapeli kama utapeli mwingine.
 
Yakobo 1.27

"Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa."

👉Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao,

👉kujilinda na dunia pasipo mawaa

hiyo ndio dini ya Kweli Mkuu👆

hakuna ukristo wala uislamu wala udhehebu wowote umetajwa
 
Ziggy Marley ambaye ni mtoto wa nguli wa muziki wa reggae hayati Bob Marley aliwahi kuimba wimbo uitwao Love is my religion, so kwangu mimi matendo mema yakiongozwa na upendo ndiyo dini ya kweli.
 
👉WAISLAMU 🕌husema UKRISTO ni DINI ya UONGO✔️

👉WAKRISTO ⛪husema UISLAMU ni DINI ya UONGO.✔️

SASA MIMI NAKUBALIANA NA WOTE KWAMBA UISLAMU🕌 na UKRISTO⛪ Ni DINI za UONGO✅

Nami nakubaliana na wao pamoja na wewe.
 
Back
Top Bottom