Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakna anae disco makusudiYaani unachota mkopo halafu unadisko makusudi; then next semester ya mwaka mwingine wa masomo unachota tena mkopo halafu unadisko makusudi, and on and on and on. Tanzania kwa kweli ni nchi tajiri sana, vinginevyo raia wote tungeshauzwa ili kufidia madeni ya lazima yasiyolipika.
Kwa taarifa yako, the most intelligent students ndio wanaoongoza kwa kudisko. Amini usiamini. Sasa huo mgogoro wa fedha ukiruhusiwa, itakuwa balaa la bara la Antarctica 🙂Hakna anae disco makusudi