Sendiga na Mhgwira wako kazini ....huyu Temu sina hakika.....Anna Mghwira aliwahi kugombea Urais wa JMT kupitia ACT Wazalendo mwaka 2015 na kushindwa. Baadaye aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa katika serikali ya CCM. Mwaka 2020 Queen Sendiga aligombea Urais kupitia ADC na kushindwa. Naye baadaye aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa katika serikali ya CCM.
Je lengo la Dorothy Temu kugombea Urais kupitia ACT Wazalendo ni kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa baada ya Uchaguzi Mkuu? Kwa vyo vyote vile Dorothy Temu hawezi kushinda Urais, hilo analijua na Chama chake cha ACT Wazalendo kinajua.
Una Jicho la Tai!Anna Mghwira aliwahi kugombea Urais wa JMT kupitia ACT Wazalendo mwaka 2015 na kushindwa. Baadaye aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa katika serikali ya CCM. Mwaka 2020 Queen Sendiga aligombea Urais kupitia ADC na kushindwa. Naye baadaye aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa katika serikali ya CCM.
Je lengo la Dorothy Temu kugombea Urais kupitia ACT Wazalendo ni kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa baada ya Uchaguzi Mkuu? Kwa vyo vyote vile Dorothy Temu hawezi kushinda Urais, hilo analijua na Chama chake cha ACT Wazalendo kinajua.
Najua ....apumzike kwa Amani...Sabaya anamnyanyasa RC aliemuapisha khaa.....Anna Mghwira alikwisha fariki, alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. Alinyanyaswa sana na Sabaya!
Wanakuwa wamepewa maelekezo maalum na hao na CCM .Anna Mghwira aliwahi kugombea Urais wa JMT kupitia ACT Wazalendo mwaka 2015 na kushindwa. Baadaye aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa katika serikali ya CCM. Mwaka 2020 Queen Sendiga aligombea Urais kupitia ADC na kushindwa. Naye baadaye aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa katika serikali ya CCM.
Je lengo la Dorothy Temu kugombea Urais kupitia ACT Wazalendo ni kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa baada ya Uchaguzi Mkuu? Kwa vyo vyote vile Dorothy Temu hawezi kushinda Urais, hilo analijua na Chama chake cha ACT Wazalendo kinajua.
Sabaya Mungu anamwona!!Najua ....apumzike kwa Amani...Sabaya anamnyanyasa RC aliemuapisha khaa.....