Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Wakuu Rigathi amejitoa sana kwa Ruto,
.
Amepitia mengi,
.
Pia Ana uwezo mkubwa wa kuzungumza, kumobilise, uzoefu, anaijua nchi na namna ya uendeshaji wa Serikali.
.
Ana uwezo wa kifedha pia hivyo ni faida katika Kampeni , ni Kingpin wa Mt. Kenya kwasasa!
.
He deserves!
.
Kindiki naye ana sifa nyingi.
.
Sifa kubwa zaidi kwake ni Wisdom, Intellectuality na hana maadui ukilinganisha na Rigathi!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app