DP WORLD = ROSTAM AZIZINinakumbuka Serikali ilisaini mkataba na DP WORLD kuendesha baadhi ya magati katika Bandari ya Dar es Salaam. Ninauliza, Je wameishaanza kazi?. Je kama wameanza kazi Serikali imepata mapato kiasi gani tangu waanze kazi?. Je ni maboresho gani gani wamefanya tangu waanze kazi?.
Miwani yake imevunjika hawezi kuona tena mpka asaidie
HUTAJIBIWA NI UPIGAJI TU TANZANIA shamba la BibiNinakumbuka Serikali ilisaini mkataba na DP WORLD kuendesha baadhi ya magati katika Bandari ya Dar es Salaam. Ninauliza, Je wameishaanza kazi?. Je kama wameanza kazi Serikali imepata mapato kiasi gani tangu waanze kazi?. Je ni maboresho gani gani wamefanya tangu waanze kazi?.
Sio pekeyake,Yupo na Mlima mananasi.,hata huyu anayeupiga mwingi.DP WORLD = ROSTAM AZIZI
Watu wamejipanga kuitafuna nchi vizuri wao na koo zaoSio pekeyake,Yupo na Mlima mananasi.,hata huyu anayeupiga mwingi.
Watu wanajua kuwatafutia vizazi vyao urithi wallah!!
Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app
Kabla DP WORD haijaja uliwahi kuuliza wanaingiza Tsh ngapi kwanza?Ninakumbuka Serikali ilisaini mkataba na DP WORLD kuendesha baadhi ya magati katika Bandari ya Dar es Salaam. Ninauliza, Je wameishaanza kazi?. Je kama wameanza kazi Serikali imepata mapato kiasi gani tangu waanze kazi?. Je ni maboresho gani gani wamefanya tangu waanze kazi?.
NdioNinakumbuka Serikali ilisaini mkataba na DP WORLD kuendesha baadhi ya magati katika Bandari ya Dar es Salaam. Ninauliza, Je wameishaanza kazi?. Je kama wameanza kazi Serikali imepata mapato kiasi gani tangu waanze kazi?. Je ni maboresho gani gani wamefanya tangu waanze kazi?.