Je "Dr" Mbwambo wa Mzumbe University Dar Business School ame-graduate PhD yake?

qwerty3

Member
Joined
Apr 4, 2009
Posts
6
Reaction score
0
Kwa Wadau Wote: Kwa kuwa naamini kuwa inawezekana naweza kuwa nakosea, na kuwa nimesikia au najua kupitia vyanzo mbalimbali kuwa anayejiita "DR" MBWAMBO, ambaye ni Dean wa Mzumbe University Dar Business School, hajamaliza bado PhD yake huko Nairobi University...naombeni uelewa wenu katika hili. Na kama bado, ina maana gani? na Ina picha gani kwa Mzumbe University kwa ujumla? Hili si jungu...ni utafutaji wa ukweli...

Mkereketwa!
 

Moderator, This is more political rather than economic issue.
 
Qwerty3,

Ina maana he's a forward-looking individual.
He's looking fwd to his PhD sometime later.
That alone qualifies him to lead a Business School, because business is about looking forward.

 
Haina mana unaweza ukawa unaona mbali kiasi gani...tatizo ni kuwa huruhusiwi kutumia title ya DR kabla hujamaliza PhD yako. Ikumbukwe kuwa Mbwambo alikuwa full time student wa KU Nairobi; alipomaliza, wakati anasubiri matokeo, akaripoti kwa mwajiri wake na kupangiwa kazi Dar Campus...hii yote akidhani kuwa amefaulu...kilichotokea ni kuwa hajapita bado...sasa kwanini anajiita DR?????....Hii ndio issue...mwiteni ajibu yeye ndo tutamuelewa....
 

Kama anasoma for PhD, binafsi sina tatizo yeye kujiita Dr so long atamaliza. Wengi wajiita Dr kabla hawajamaliza. Nilimuuliza Mr x, kama atakuwa shule mpaka 2017, hajamaliza PhD?
 
Nikusahihishe,
Sio Dean, ni Principal pale.
 
I admire the valuable facts you provide inside your content. I will bookmark your weforum and also have my youngsters check up right here frequently. I am fairly positive theyll learn lots of new stuff here than anybody else! Payday by phone Payday by phone, Payday loans guaranteed approval Loans with bad credit quick.
 
Hofu yangu vyuo vyetu navyo kuwa vyuo vikuu vya kata, hii inatokana na kuwa wapuuzi wa kuhakiki vitu na kuhakikisha nivya ukweli na si kuchakachua
 
Wewe ni mkereketwa wa majungu hata procedure za kupata PhD huzijui. Prof. Mbwambo aligraduate PhD mwaka 2005. Na mimi ninaitumia report yake sana kwa ajili ya PhD yangu.

Alafu wewe unaehoji mtu mwenye Advanced Diploma kusoma Masters tumia akili kwa kua Mzumbe si chuo pekee kinachofanya hivyo.

Mimi nimesoma hiyo diploma na sasa na fanya PhD. Kwenye chuo bora kuliko vyote Africa. Utalala na mawazo mgando yako wenzako tunasonga mbele.


 
Acha ujinga wako, Mbwambo alikua Dr mwaka 2005. Uhasama wako na watu usiiulete huko wenye vyombo vya jamii...kasome...
Kama anasoma for PhD, binafsi sina tatizo yeye kujiita Dr so long atamaliza. Wengi wajiita Dr kabla hawajamaliza. Nilimuuliza Mr x, kama atakuwa shule mpaka 2017, hajamaliza PhD?
 
Mzumbe University ilikuwa na walimu wengi waliochakachua PH.D zao toka mtandaoni!!! Hata Nchimbi inasemekana aliandikiwa thesis yake na mwalimu ambae sasa amezawadiwa kuwa naibu katibu mkuu!!!
 
Ili uaminike anza kwanza kujiamini mwenyewe. Acheni majungu someni. Watanzania wengi hawapendi kusoma lakini wanapenda maendeleo. Kuna Dr. mmoja maarufu UDSM aliwahi kuwa bondia siku za nyuma. Wasiompenda na wasiopenda maendeleo siku zote utawasikia 'wakisema huyu si alikuwa bondia tu'.Nilipita pale na huwa najiuliza kwani kuwa bondia maana yake hautakuwa na elimu maisha!
 

Mkuu usharudi South Africa?
Kuna issue Fulani tuliongea Kwa email, hatukumalizana kaka elubua
 
Last edited by a moderator:
Nipo baba, sikumbuki ila kwavile una email yangu twaweza wasiliana
 

Hivi huo msuli wote wa nini? kiasi yeye kujiita Dr? huna shughuli nyingine za kufanya? Chapa kazi bwana wewe, we are not here to deal with petty issues.
 

watu kwa majungu.onesha yako bora sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…