Kwa Wadau Wote: Kwa kuwa naamini kuwa inawezekana naweza kuwa nakosea, na kuwa nimesikia au najua kupitia vyanzo mbalimbali kuwa anayejiita "DR" MBWAMBO, ambaye ni Dean wa Mzumbe University Dar Business School, hajamaliza bado PhD yake huko Nairobi University...naombeni uelewa wenu katika hili. Na kama bado, ina maana gani? na Ina picha gani kwa Mzumbe University kwa ujumla? Hili si jungu...ni utafutaji wa ukweli...
Mkereketwa!
Kwesa;
Mzumbe University inawachukua hata fresh graduate wa Advanced Diploma kuanza Masters.
Hilo halina ubishi. Mbwambo anaendesha shule ya Dar ki biashara sana kuliko kitaaluma. Kuna vijana kibao wamemaliza mwaka jana Advanced diploma na wengine degree wanachukua masters pale. Unamaliza advanced diploama July October unaanza Masters!. Only in Mzumbe University.
Ubabaishaji mtupu
FP
Kwesa;
Mzumbe University inawachukua hata fresh graduate wa Advanced Diploma kuanza Masters.
Hilo halina ubishi. Mbwambo anaendesha shule ya Dar ki biashara sana kuliko kitaaluma. Kuna vijana kibao wamemaliza mwaka jana Advanced diploma na wengine degree wanachukua masters pale. Unamaliza advanced diploama July October unaanza Masters!. Only in Mzumbe University.
Ubabaishaji mtupu
FP
Kumbe mzumbe vilaza kuanzia wanafunzi hadi walimu wao?
Nilichosikia na kushuhudia ni kwamba Jonathan Mbwambo bado hajamaliza PhD. Anasema kuwa iko katika hatua za mwisho kabisa kwa external examiner. Unajua PhD inawezekana kuwa supervisors wako (mara nyingi wawili) wanaweza kuwa wameridhika na kazi yako: lkn kwa utaratibu wa vyuo vyote, lazima kuundwe external PhD committee ambayo itasoma kazi nzima, kuutisha "defense" na kutoa verdict. Sasa nilichosikia ni kuwa huyu jamaa amekwama hapo; ameshindwa kumshawishi mmoja wa examiner kuwa amefanya vizuri utafiti wake, hasa upande wa methodology. Haya ni mambo ya kawaida kwa PhD, mana unakuwa hujui unamaliza lini: Issue yangu kubwa hapa ni KWANINI TAYARI ANATUMIA TITLE YA KUITWA DOCTOR (Dr)?????...Anataka kumpendezesha nani? Hilo naamini kabisa Prof Kuzilwa analijua...mana ni mshikaji wake sana: Kuzilwa hana uwezo wa kumkemea, ni kiongozi dhaifu pmj na kuwa Academic Credentials zake hazina wasiwasi.
Tungependa Mzumbe University watoe Press Release Kuhusu Hili; mana ni sawasawa na mtu kujiita Advocate na kwenda vijijini na kuwadanganya wanakijiji kuwa atawasaidia katika kupitia kampuni yake kwenye matatizo yake ya Ardhi...Huu ni udanganyifu....
Napenda mtoe michango yenu katika hili...hasa wanafunzi wa wote wa Mzumbe hasa wa Dar Campus...
Kumbe mzumbe vilaza kuanzia wanafunzi hadi walimu wao?
Hapana Dr. Mbwambo alimaliza PhD yake pale University of Nairobi, ambaye bado anaisotea ni Elisante aliyekuwa IFM baada ya kugundulika alisoma Finland Mphil. na alivyokuja akadai ni equivalent na PhD lakini wazee wakamshauri bora akasome tena ili akamilishe.
Mkuu Kipilime tafadhari na wewe sahihisha usemi wako, hapa JF kuna watu na heshima zao wala si wote ni waropokaji na wapiga majungu kama vile hawana kazi maalumu, tuheshimiane Bwana!!!!!!!!!!Hii topic ni ya siku nyingi sana na ina lengo la kumshambulia moja kwa moja Dr. Mbwambo. Aliyeanzisha thread hii anasema et Dr. Mbwambo kamaliza PhD yake? Kama hajamaliza anawezaje kuitwa Doctor? Wenye mammlaka za kutunuku hiyo PhD hatujasikia wanasema kuwa hajakamilisha hiyo PhD yake. Jamii forum naona ni sehemu ya waropokaji na wapiga majungu, pasipo hata chembe ya argument. Sasa jiwe walilokataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni. He is now an associate professor. Shame upon you guys wenye mawazo yenu mgango.
Mkuu Kipilime tafadhari na wewe sahihisha usemi wako, hapa JF kuna watu na heshima zao wala si wote ni waropokaji na wapiga majungu kama vile hawana kazi maalumu, tuheshimiane Bwana!!!!!!!!!!