Je "Dr" Mbwambo wa Mzumbe University Dar Business School ame-graduate PhD yake?

Mkuu Kipilime tafadhari na wewe sahihisha usemi wako, hapa JF kuna watu na heshima zao wala si wote ni waropokaji na wapiga majungu kama vile hawana kazi maalumu, tuheshimiane Bwana!!!!!!!!!!


Mtumishi Wetu mimi ni mtu Muungwana. Naomba radhi sana kwa wale nilliowakosea heshima. Lakini naomba tusaidiane pale ambapo watu wanaonekana ni wapiga majungu, kwa kuwa tunaona wanachoandika na michango yao. Heshima zenu wakubwa ila sitowakalia kimya hata kidogo wapiga majungu. Heshima tele Mtumishi Wetu

 
Binafsi natafuta fungu niwapelekee walimu wa mzumbe nifanye chochote nachotaka tena wananifanyia wenyewe maana kwanza kithungu hawajui. Wanachojua ni pesa tu wale

teh teh teh,ka vip njoo itisha harambee mkuu.
 
Nashukuru kwa response yako ya haraka Mkuu, samahani kama nimetumia lugha ya ukali, ni kweli kama kuna wapiga majungu lazima wakemewe!!!!Kwa kweli si wote members wa JF ni wapiga majungu bali wanaelezea hisia zao tuu, tupo pamoja ndugu yangu!!!!! Ubarikiwe!!!

 
Hivi huyu DR Jonathan Mbwambo na ngudu na yule DR Jonathan Stephen Mbwambo wa SUA ambaye ni Director wa DSI?
 

Dean wa DSM MU Campus College anaitwa Andrew na sio Jonathan, na yeye alimaliza shule yake mwaka 2005. Nafikiri mnachanganya majina tu.
 
Jukwb la elhmu linatakiwa lichangiwe na wenye elimu. Kwa msio na elimu muwe mnaomba kuuliza tu ili muelimishwe. Kinyume cha hapo utaitwa mfanya majungu tu.
Heh heee hee du kazi inogile,kwa hiyo vihiyo hapa si mahala pake inabidi waende kuule kwenye jukwaa la siasa a.k.a jukwaa la POROJO
 

Muwe makini na majungu yenu mnapotaja majina ya watu Jonathan Mbwambo ni mtu mwingine kabisa ni PHD holder (Dr.) SUA - Morogoro, nilishangaa kuona jina lake unalitaja na kusema yuko Mzumbe Universtity na kwamba hana PHD.
 

kweli mkuu. Sidhani kama JF ni sehemu pekee ya kujua habari za mtu. Yaelekea mleta thread ana msuguano binafsi na Dr. Mbwambo.
 
On Top od that he is associate Priffessor. It means alishamaliza shule
 
Mambo ya kusikia hayatakiwi humu "source please"
Pili changanya na zako usiwe mbayumbayu "dr mbwambo ana diserve" zaidi ya hapo ni majungu tu
 
wanajua wanachokitafuta kutokana na roho yao ya majungu
 
Kumbe mzumbe vilaza kuanzia wanafunzi hadi walimu wao?
Acha majungu, inavyoonekana kuna kitu umefanyiwa na Mzumbe community. Kama ulikipenda na ukakikosa usijipe moyo kwa kuwaita waliokipata vilaza. Unajua sifa za kujiunga na kile chuo?
Usiwapige majungu wenzio waliopata ooportunity ya kusoma pale bwana. Nadhani hili ni jukwaa la scholars na sio gossipies.
Hembu elimika kwa kuongea facts na sio nonsense.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…