Je drafti ni kipimo sahihi cha IQ?

aiseeh, hongera na wewe IQ yako iko juu na wewe kwa uandishi huu.....
 
Yap kwa kiasi flani inaweza ikaongeza IQ
 
Kweli kabisa hata Mimi nimekuwa mdobwedo

Draft linahitaji akili ya ziada kushinda. Mie nilikuwaga mbabe sana kwenye mchezo wa french. Ila baada ya kufikia 40 siku hizi nafungwa na vitoto maana unacheza huku unawaza je leo natumbuliwa au
 
Mchezo ninaoupenda.
Huko ndani kuna samba, bega bovu Nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…