Je, Dunia ilianzia Mashariki ya Kati?

Nina waswas sana na mnepha kama bhangi hazijamwathiri bas atakuwa na tatizo la kisaikolojia. Namwona anavyohangaika na europhobia na pia kuji feel ni inferior.huwa linapokuja suala hili anaishia kushambulia wazungu na kujitukuza kikondoo.ukimwuliza hata asilimia 70 ya vitu anavyotumia asili yake ni wazungu

 
Weka hapa huo ushahidi. Ili watu wasione una blah blah... Weka facts.

 
Sometimes it hard to believe a penguin from Australia ...aliruka mpaka Middle East to get into the Ark...

Sent From INFINIX NOTE 3 PRO
 
Nimejaribu kuulewa title ya thread hii nikashindwa, nikaonakua sentence inayouliza maswali haina maana kabisa. "Je Dunia Ilianzia Mashariki ya Mbali" hii semantically haina maana kabisa kulingana na jinsi Tunavyoelewa maana ya DUNIA kwa lugha ya kiswahili haina maana kusema dunia ilianza mashariki ya kati. Kati ya Dunia na Mashariki ta kati ipi kwanza inategemea nyenzake. Kuwepo kwa mashariki ya kati lazima kuwe na dunia kwanza. Kwahiyo kusema dunia ilianzia mashariki ya kati ni semantically meaningless setence.
 
Kila jambo moja lina mitazamo na tafsiri nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Lee
Japo mkuu mada yako ni ya mda kidogo nikimanisha sikuwahi kuiona ulichokizungumza kwa upande wa imani uko sahihi ...japo tukirudi kwenye uhalisia (japo napo kuna nadharia nyingi ) evolution of universe ni kizungumkutiiii japo kwa wale ambao tunaamini katika theory mbalimbali za sayansi tunaweza kuamini kuwa dunia kwa kujikita kwenye uhai ilikuwepo japo uhai kwenye dunia ndo tukiweka tofauti ya imani tulianzia kwenye simple to complex nikifananisha na wengi wanavyosema from zero to hero ...
 
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Sometimes it hard to believe a penguin from Australia ...aliruka mpaka Middle East to get into the Ark...

Sent From INFINIX NOTE 3 PRO
Maybe it can be something else
 
Ambaye ni Adam? Lilith? Eva? Au huyu wa Olduvai gorge? Je nafasi ya Babylon na Eden nk nk zinakaa wapi kwenye hili? Je Unazungumzia kwa muktadha wa historic world au pre-historic ?
First human bado ni hadithi za chenga nawashauli muwe mnapitia kule quora kuna baadhi ya wasomi nguli mnaweza dadavua punje,ila swala la mtu wa kwanza ni fumbo na ni ngumu kufaham kirahisi.
 
Hii ni mada ngumu mkuu isitoshe wenzetu wa mashariki ya kati na ulaya wametunza historia zao hivyo kuwa na facts nyingi za zamani ukilinganisha na sisi waafrika. Mimi binafsi npo kwenye utafiti bado ila naamini dunia ilianzia Afrika
Si kweli endeleza utafiti
 
Hakuna ramani ya dunia ni nadharia tu hizo,ndomana kuna misemo ya vitabu yasema chini ya bahar kuna kina sawa na mbingu(ambayo nayo ni nadharia)na dunia sio tufe na hiz ramani ni uongo mtupu.
 
Kamdanganye mwenza wako mkuu.
First human bado ni hadithi za chenga nawashauli muwe mnapitia kule quora kuna baadhi ya wasomi nguli mnaweza dadavua punje,ila swala la mtu wa kwanza ni fumbo na ni ngumu kufaham kirahisi.
Si kweli endeleza utafiti
Hakuna ramani ya dunia ni nadharia tu hizo,ndomana kuna misemo ya vitabu yasema chini ya bahar kuna kina sawa na mbingu(ambayo nayo ni nadharia)na dunia sio tufe na hiz ramani ni uongo mtupu.
Katika umri wako wa miaka 23 bado una mengi sana ya kujifunza... Nakushauri endelea kujifunza kuna mengi huyajui bado... Mengi mno huna ufahamu nayo... Katafute ufahamu utafunuliwa mengi
 
Hivi wale watu halisi wa america ni baba wa nani?
Maana wale walikuwa sio wazungu.
 
Sio kweli Waisrael walipofika kaanan mwanzo kabisa walikuta watu wanaishi , hivyo sio wa kwanza pale
 
Kwahiyo Adam alikuwa muhindi au mzungu au mwarabu au mchina ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…