Je, dunia inahama kutoka kutumia TAKUKURU kupambana na rushwa na Ufisadi kwenye miradi ya Serikali mpaka kuitumia PPP, is this also a New World Order?

Dunia inataka Kodi zielekezo kwenye maendeleo tu sio uendeleshaji wa Serikali
 
Dunia Iko Kasi sana lazima tulifahamu hili na sisi kama Tanzania sio kisiwa
 
Akili imetulia sana hii👏👏
 
Nzuri sana
 
Elimu safi sana hii
 
PPP kuweka Camera za ulinzi Ofisini - Watafuta Fedha Mjini


View: https://youtu.be/Gv7vLQwG9fg?si=Iecv7hnvrn1GbpZb
 
Tangu Kafulila aingie PPP uhai umeonekana
 
Hii sikuwa nafahamu
 
PPP wanipe mradi wa Kigamboni ili nifanye jambo
 
Hivi PPP haiwezi kunipa soko la Kariakoo?
 
Hongera sana PPP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…