Je, dunia inahama kutoka kutumia TAKUKURU kupambana na rushwa na Ufisadi kwenye miradi ya Serikali mpaka kuitumia PPP, is this also a New World Order?

Mama mitano tena
 
Hongera sana Bwana Kafulila
 
Mimi nimeelewa sana hii
 
The sad bit mtu anaweza weka title ya ujinga, akaandika contents za ujinga, kuambatanisha government authority kwenye upuuzi wake kwenye ujinga.

Halafu mkampa likes.

Inaelezea kiwango cha ujinga wetu.

The nonsense, kilichoandikwa na mleta mada post #1

Ujinga mtupu which makes no sense.

My god, the thread is on page 11 a majority of contributors thinking is based on nonsense.

Ni ngumu kwa viazi kumuelewa Magufuli.

Ohh my god ujinga wa #1 is beyond me, how stupid can you. Doesn’t make sense at all, how shallow are the people that gave him likes.

The nonsense of the post is beyond.

Ujinga mtupu.
 
PPP kwenye halmashauri kwani imefika?
 
PPPP✅
 
Tuliosoma Cuba tumeelewa
 
Unajua huwezi kumuita kiongozi ana akili kama ni mbinafsi. Ni sawa na kuajiri mwizi kwenye duka lako kwa kujidanganya au kudanganywa kuwa ana akili.
Mfano ni nani?
 
Upigaji fc
 
 
Samia mitano tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…