Wewe Bashungwa naona umevembewa kabisa marushwaMfano mtu anakupa hela apate tenda,hapo Kuna shida gani? Rushwa yenye shida ni Ile ya ku compromise quality na by the way hao watu wa Barabara Huwa wanaweka quantity kubwa Ili wapate hela lakini sio ku compromise quality ya kazi.
Ndio facts hiyo,Nchi hii ndio maana Kila siku ni ya mwisho sababu ya kuwa na watu wenye fikra za kijinga kama wewe,too conservativeWewe Bashungwa naona umevembewa kabisa marushwa
Kwani unadhani PPP ni nini? 😂😂😂Ile Makolo FC ni Investment sio PPP 😆
Ila kama ya Mo ni PPP basi sitaki PPP kabisaKasome Mkataba wa Makolo FC na Mo Dewji utanielewa maana Simba inaongozwa na kitukuu cha Mangungo
Unatoa Rasilimali Wewe unapewa Management halafu Faida kubwa anachukua mwekezaji yaani Actual na In kind 😄
Unaelewa ulichaondika hapo juu?Ndio facts hiyo,Nchi hii ndio maana Kila siku ni ya mwisho sababu ya kuwa na watu wenye fikra za kijinga kama wewe,too conservative
Simba SC ni Mali ya Umma ndio sababu Dr Mwakyembe alizuia Mo Dewji kumiliki 51% ya HisaIla kama ya Mo ni PPP basi sitaki PPP kabisa
Nadhani mambo ya Investments siyo eneo lako bwasheeHapana PPP-CETRE sio TIC CENTRE
We jamaa sidhani hata kama una certificate au NGAO Kutoka pale CBE 😂😂😂😂😂😂Mo pale Simba anaitwa mwekezaji sio mbia😀😀
New world oder inahusiana vipi na wafia dini?Naona ulianza na New World Order kuwavuta wafia dini kwenye uzi wako.
😆😆Kunatofauti kubwa kati ya Uwekezaji na Ubia,We jamaa sidhani hata kama una certificate au NGAO Kutoka pale CBE 😂😂😂😂😂😂
Huwa nakuheshimu Leo nimegundua na wewe ni wale waleMfano mtu anakupa hela apate tenda,hapo Kuna shida gani? Rushwa yenye shida ni Ile ya ku compromise quality na by the way hao watu wa Barabara Huwa wanaweka quantity kubwa Ili wapate hela lakini sio ku compromise quality ya kazi.
Wale wale kina nani?Huwa nakuheshimu Leo nimegundua na wewe ni wale wale
Hofu yako ni Nini hapo?Hivi upo Serious Mkuu au hii ni Sarcasm.., Hakuna sehemu ya Upigaji kama PPP kuna loopholes za kutosha vilevile kwanini tutumie Kodi za mwananchi kuweka rehani kama PPP ikienda belly Up kwanini Private wasifanye jambo kivyao kuanzia mwanzo mpaka mwisho why partneship ? Mambo ya Huduma Serikali iyafanye fully mengine private wafanye kwenye free market..., kwenye asset zetu tuwape watu lease waendeshe hizi ndoa ni mirija ya watu kujivunia pesa
Why Public Private Partnership Dont Work (The other Side of the Story)
Wakati tunapigia chepuo hii PPP's kwamba ndio magic wand nimeona nilete pdf hapa (report by David Hall) ambayo kwa hoja za mwandishi ni kwamba PPP's zimegubikwa na sintofahamu za kutosha na loopholes za Upigaji na kwa nchi kama yetu ya mafisadi huenda hii ikawa ni kuongezea watu mirija ya...www.jamiiforums.com
Majizi na malarushwaWale wale kina nani?
Nchi inakuaje pesa ya mtu? Kwa nini usiwe na Nguvu wakati pesa inakusanya wewe ndio unamlipa?Unaelewa ulichaondika hapo juu?
Ukishakula pesa ya mtu nguvu ya kumkea utaitoa wapi?
Yaani mpaka utafuniwe ni kwamba PPPs zinatumika kupiga pesa wala sio kuzuia upigaji wa pesa (Nchi nyingi zimelia sababu ya PPPs na nyingine mpaka kufirisika)Hofu yako ni Nini hapo?