Je, dunia inahama kutoka kutumia TAKUKURU kupambana na rushwa na Ufisadi kwenye miradi ya Serikali mpaka kuitumia PPP, is this also a New World Order?

"Dunia" na TAKUKURU zinahusiana nini?
 
Ni pale anayewaambia wengine hawajui kumbe yeye ndio hajui..., Hapa hakuna jambo la ajabu, PPP maana yake ipo kwenye Jina Public Private Partnership.., sasa inategemea terms and conditions, Serikali pia inaweza kutoa pesa, kusaidia kwenye fund sourcing kutotoza kodi husika au kuwapa miundombinu ambayo otherwise ingebidi private entity inunue kwa pesa...

Pili kumbuka hapa serikali ni mdau kwahio mfano kama mapato ambayo yangetakiwa kupatikana yasipopatikana huenda private entity akafidiwa through kodi za mwananchi....

Na kama kinachofanyika ni too big to fail mfano Benki au Kampuni ya Nishati basi Serikali lazima itatoe pesa kuokoa mradi wake na mdau wake (In short kwenye PPPs mdau / private entity ni vigumu sana kupoteza)
 
Kwani wewe ni madai?
 
Naona ni kama huifahamu vizuri PPP,Hapana Serikali hailazimiki kutoa pesa endapo UBIA utaingia dosari,
Kabla ya Ubia Kuna Upembuzi yakinifu
 
Naona ni kama huifahamu vizuri PPP,Hapana Serikali hailazimiki kutoa pesa endapo UBIA utaingia dosari,
Kabla ya Ubia Kuna Upembuzi yakinifu
Aisee!!!! PPP ni parterniship, na vigezo vya jinsi mambo yatakavyokuwa huwekwa kabla ya makubaliano na wala sio mara moja tena ni mara nyingi kinachotokea huwa ni kwamba vile vigezo hususan vya faida iliyokadiriwa kama isipofikiwa huwa ni Serikali kama partner anafidia ile hasara kama Ruzuku...

Unadhani mpatane kwamba barabara inajengwa Serikali inatoa ardhi na mwekezaji atapata takribani milioni hamsini kwa siku kama faida yake kutokana na ushuru kutoka kwa watumiaji..., sasa unadhani isipopatikana hio milioni hamsini na bado barabara inahitajika kutumika kama huduma hizo pesa zitatoka wapi kama sio Kodi ya UMMA kutumika kama Ruzuku ili kufidia Hasara ?!!!!

 
Mbia anahitajika yeye mwenyewe kufanya Upembuzi yakinifu na kujua mapema kama hiyo project ni asset au liability,

Jifunze vizuri,
 
Mbia anahitajika yeye mwenyewe kufanya Upembuzi yakinifu na kujua mapema kama hiyo project ni asset au liability,

Jifunze vizuri,
Acha kukariri United Kingdom kabla ya kubinafsisha Umeme iliwekwa kabisa neno kwamba Umeme lazima utakuwa bei ya chini kuliko currently bei iliyokuwepo at the time..., kilichotokea kila mara walikuwa wakikaa na kuona kwamba ile faida waliyodhani watapata sasa hivi hawapati.. (na kamwe hakuna mfanyabishara ambaye anafanyia Hasara; hio ni Kazi ya Serikali kutoa Huduma sio a businessman) hivyo ni kwamba kama walichosema watapata wakiona namnagani vipi watakaa mezani na kurekebisha..., na kama kilichopo ni too big to fail always serikali huwa inafanya bail out..., Tena achana na UBIA ambapo Serikali ni Mdau hata Kampuni kubwa au Benki Kubwa zikitaka kufirisika ni Serikali inatumia Kodi ya wananchi kuzikomboa... And this has happened so many times it has become a norm...

Hata India anapotokea ADANI ambapo waliingia PPP ya ku manage Airports zao kulikuwa na Kipengele kwamba experience was necessarily ila hilo likafutwa Adani akapewa Airport Sita na baadae ya Saba hata bila kuwa na experience ya siku hata moja....

Kwa ufupi ngoja nikupe loopholes ambao zipo kwenye PPP na zimetumiwa sana na hata Ugiriki kuingia kwenye Debt Crisis moja wapo pamoja na mikopo isiyo na busara PPP ilikuwa ndio mpango mzima....

Sasa angalia baadhi ya loopholes za PPPs ambazo Serikali ya nchi nyingi imekuwa ikizitumia...
  • Although PPPs are often promoted as a solution for countries under fiscal constraints, the evidence suggests rather that they worsen fiscal problems. According to the EIB, the six countries which have made the greatest use of PPPs in recent years are Cyprus, Greece, Ireland, Portugal, Spain and the UK. Four of these are subject to ‘Troika’ rescue packages, and the other two – Spain and the UK – both face large fiscal problems. In both Portugal and Cyprus, the IMF/EU ‘troika’ packages have identified PPPs as a contributory cause of the countries’ fiscal problems, and required an audit and renegotiation of existing PPPs and a freeze on new PPPs. 11 (see case study) In Latin America, PPPs are also concentrated in very few countries. Brazil and Mexico account for 65 per cent of all PPPs; Colombia, Peru, and Chile account for a further 15 per cent.
  • A further danger is the recent effort by the World Bank,the G20, OECD and others to ‘financialize’ PPPs in order to access the trillions of dollars held by pension funds,insurance companies and other institutional investors.
  • PPPs originated as an accounting trick, a way round the government’s own constraints on public borrowing. This remains the overwhelming attraction for governments and international institutions. Just as companies like Enron had tried to conceal their true liabilities by moving them‘off-balance-sheet’, so governments started using PPPs as “tricks…. whereby public accounts imitate the creative accounting of some companies in the past.”
  • “In developing countries, the development banks and multinational companies encouraged the spread of PPPs in the 1990s, especially in the water and energy sectors, as part of the general promotion of privatisation – and as a way around the fiscal limits which the same IFIs were imposing on developing countries. The main form of privatisation in water was concessions or lease contracts, which are a classic form of PPP.”
  • Governments have also started providing subsidies for PPPs, mainly by lending public money at low rates of interest that the private sector could not otherwise obtain – despite the obvious intrinsic contradiction of using public finance to finance PPPs.
 
Naona unapbana sana kuturudisha kwenye upigaji,

PPP is more safe than any
 
Naona unapbana sana kuturudisha kwenye upigaji,

PPP is more safe than any
Hakuna unachoelewa PPP watu hawaingii sababu ni safe kuliko vingine PPP inaingia kutokana na kwamba jambo hilo kuna mtu ana kitu cha ziada (expertise au mtaji wa aina yoyote) ambapo otherwise Serikali isingeweza kufanya..., Mfano badala ya kununua Software kila leo Serikali inaweza kuingia na Magwiji kama kina Microsoft kuhakikisha wanafanya hilo jambo (technical know how na ujuzi wao mwisho wa siku jambo litafanywa bora kuliko vinginevyo)

Au barabara fulani ya kwenda vijijini ambapo Serikali ilikuwa haina mpango kabisa wa kujenga mtu anakuja anawapa proposal kwamba tujenge hapa na mimi takusanya pesa in thirty years nitawaachia iwe yenu (hapo ni kwamba alternatively serikali wangekataa hata after those thirty years kungekuwa na kichaka)

PPP hatuingii ili kugawana Faida au kusaidiana kula kodi za mlipa Kodi kwa mgongo wa PPPs
 
Sasa Kodi zinaendaje PPP?
 
Sasa Kodi zinaendaje PPP?
Naam moja Ruzuku, kama mradi ni wa faida kwa jamii ukisuasua lazima partner mmoja katika PPP ambaye ni Serikali ataingilia kati ili kuokoa mambo..., mbili kama mradi uliowekwa ni too big to fail / una tija kwa serikali ni kwamba kodi zinatumika kama bailouts na hapa sio PPP tu bali hata biashara binafsi kama zinahusiana na uchumi wa nchi..., hivi unadhani benki yoyote kubwa binafsi ikitaka kufirisika ni nini kitatokea ? Na sababu Serikali haina pesa zake ni kodi yako (Yaani UMMA always ndio huwa unawabail watu Binafsi) In short kama ni faida wanakula wao kama ni hasara mwananchi ndio anaingia mkenge..., hio ndio Capitalism 2.0.... (Socialism Re-packeged for the benefit of the Rich)

 
Nakuheshimu sna
Kama u mkweli jibu swali:

"Dunia" na TAKUKURU zinahusiana nini?

usiandike upuuzi halafu ukajificha nyuma ya kivuli cha heshima.

Wewe jibu swali, heshima yako ifiche kwenye nguo zako, siyo za wengine.
 
Kama u mkweli jibu swali:

"Dunia" na TAKUKURU zinahusiana nini?

usiandike upuuzi halafu ukajificha nyuma ya kivuli cha heshima.

Wewe jibu swali, heshima yako ifiche kwenye nguo zako, siyo za wengine.
Umeambiwa Dunia imeacha kutumia taasisi ya kuzuia Rushwa badala yake inatumia PPP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…