Je, dunia inahama kutoka kutumia TAKUKURU kupambana na rushwa na Ufisadi kwenye miradi ya Serikali mpaka kuitumia PPP, is this also a New World Order?

Eti kafulila naye mzalenda yaani malaya wa kisiasa siku hizi ndio wazalendo. Mtu aliye hama Nccr akaenda ACT wazalendo akaona atasahaulika mapema.ikabidi aende chadema ili aonekane , mara tu ya kuanza kuonekana akajiuuza ccm sasa anakula kwa urefu wakaba yake eti huo ndio uzalendo.
 
Sasa huyo Mbowe anayefia madarakani ndio uzalendo?
 
Sasa huyo Mbowe anayefia madarakani ndio uzalendo?
Kumbe mbowe ni raisi ,kwanza mbo na kafulila wapi na wapi . Hii inaonyesha Mbowe ni tishio kwa wenye madaraka . Maana kila kila usema ujinga wa selikali na ccm , Serikali na ccm wanakimbilia kushambulia mbowe au chadema. Hivi Mbowe na chadema wanatoza wapi kodi? Au wapi wanauza madini ya nchi?
 
Kama tunampa pesa apeleke Kanisani anamtisha nani,?
 
Bora Ubia Uje naona tuone itakuwaje
 
Ajibu hii,
 
PPP wanastahili pongezi
 
Umeongea kwa sauti sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…