S Saikim New Member Joined Aug 4, 2011 Posts 3 Reaction score 2 Aug 4, 2011 #1 Serikali yetu inajitahidi kuboresha elimu lakini bado haijaweza kumudu mahitaji ya watanzania ambao wanahitaji kusoma hivyo haina budi kuweka mipango ya baadae ya kimaendeleo kabla mambo hajakuwa magumu zaidi.
Serikali yetu inajitahidi kuboresha elimu lakini bado haijaweza kumudu mahitaji ya watanzania ambao wanahitaji kusoma hivyo haina budi kuweka mipango ya baadae ya kimaendeleo kabla mambo hajakuwa magumu zaidi.