The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Tajiri namba 2 wa Dunia (Hivi juzi tu alikua namba 1) Bwana Elon Musk anatazamiwa na watu wengi kama mtu mwenye maono makubwa na yanayoleta mapenduzi makubwa katika kuukomboa ulimwengu.
Kwa mfano, Elon alianzisha kampuni ya magari ya umeme, watu wakampuuza lakini leo kampuni yake ndio kampuni yenye ushawishi mkubwa zaidi Duniani na Dunia inaelekea kwenye mtazamo wa Elon, miaka 10 ijayo hakuna kampuni yoyote ya magari itakua inatengeneza magari ya petroli wala dezeli, yote ni umeme.
Haitoshi, Elon Musk kaanzisha kampuni yake ya Speace X ili kupeleka watu sayari ya Mars, watu wakampunga na kumuona hana akili, leo hii Space X inashindana na mahirika makubwa ya utafiti wa Anga kama NASA, ESA, nk. Elon anafanya hivyo sio kupata faida bali kwa maslahi mapana ya walimwengu.
Elon hakuishia hapo, akagundua information is power na watu wamekua wakilishwa taarifa ambazo zimeshapikwa na mamlaka za serikali ama watu wenye kumiliki hivyo vyombo vya habari, sio taarifa halisi, sio kwenye magazeti, redio, tv ama mitandao ya kijamii.
Elin akaamua kutumia pesa zake zaidi ya Pesa za Kitanzania Trilioni 103, ama USD 44 Billion kununua twitter ili kuiokoa jamii na habari za kupikwa, elon anataka watu wajadili habari halisi sio zilizopikwa amakutengenezwa na serikali ama wamiliki wa vyombo ama mitandao ya kijamii, watu wawe huru kujadiliana bila vitisho.
Elon akasema wazi kua hanunui twitter kwa ajili ya faida kwani tayari twitter kimahesabu inatengeneza hasara, hakuna muwekezaji anaweka pesa ama kununua kampuni inayotengeneza hadara, hayupo lakini Bwana Elon akasema anainunua kwa maslahi mapana ya walimwengu.
Baada ya Elon kuinunua Twitter, akataka aithibitishie Dunia kua mitandao ya kijamii inapewa mamlaka ya taarifa zipi zijadiliwe na zipi zisijadiliwe na mamlaka za serikali kinyume kabisa na katiba ya nchi na haki za binadamu, akaamua kutoa siri zote. Akaamua kutoa siri kuputia Twitter Files, kila wiki anatoa mawasiliano kati ya twitter na serikali ya Marekani.
Leo hii ameanza kutoa siri za jinsi Serikali ya Marekani ilivyokua haitaki watu wajadili masuala ya covid kwa kuwasingizia kua wanasema uongo wakati kiuhalisia wao ndio walikua sahihi, kwamba serikali iliamua kulisha watu uongo kuhusu covid na chanjo na haikutaka mtu yoyote ajadili kinyume na maelekezo ya serikali.
Elon musk anasema watu kama Dr. Fauci ni wa kufunga kwani walileta utaratibu wa kujikinga na covid usio na maana na umepelekea watu wengi sana kupoteza maisha na yoyote ambae angempiga Fauci angeonekana anasema uongo.
Hii ni baada ya mamlaka ya afya ya Marekani FDA kutoa utafiti unaoonyesha kua chanjo ya Pfizer inasababisha kuganda kwa ubongo, yaani wanakiri leo wakati watu kibao wamekufa kwa taarifa zao wa awali kwamba chanjo ni salama na hakuna alietakiwa kupinga.
Leo hii hulo Marekani FBI, CIA, NSA wamechanganyikiwa, Elon anawavua nguo mchana kweupe. Juzi FBI walitoa tamko kua Elon na wafuasi wake wanapotosha jamii kwa lengo la kuiharibia sifa FBI.
Kwa kweli Elon aishi miaka mingi. Huyu ndie mkombozi tunaemsubiri ama kuna mwingine?