Nyingi mno na sio fake kama fake ila ni kwamba hakuna kitu kitakuwa Kama og hiyo ni kawaida ila itakupushKumbe ata engine nazo ni fake?
Labda maduka ya akina Kanjibai watakuonea aibu kukuuzia OG, ila Mbongo alishindikana tabia hata kabla hajatolewa shambani akiwa karanga kuja viunoni mwa Wazazi wake.Kumekucha na makucha yake..
Ni muda Tena nimekuja na wazo la kuboresha usafiri wangu TVS baada ya kuona mafundi wamezidi kuchokonoa engine.
Ninampango wa kununua engine mpya ya TVS dukani nifunge cc125 ila Nina wasi wasi isije ikawa kama vifaa vingine vya mipira maana 80% ni fake.
Je vipi kuhusu engine za kununuliapo zinadumu kama mpya?
Nimepata wazo labda niulize kuhusu maduka ya wahindi.Labda maduka ya akina Kanjibai watakuonea aibu kukuuzia OG, ila Mbongo alishindikana tabia hata kabla hajatolewa shambani akiwa karanga kuja viunoni mwa Wazazi wake.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Sawa, na hakikisha Bosi mwenyewe ni Muhindi ila wasiwe wale vishoka/middle brokers.Nimepata wazo labda niulize kuhusu maduka ya wahindi.
Asante sanaHebu nenda pale karibu na Ofisi za CCM Lumumba,kuna Muhindi alikuwa anauza genuine parts za Pikipiki karibu na GSM alikuwa anaitwa TUKTUK MOTERS , sijapata maeneo yake muda mrefu lakini jamaa alikuwa anasupply kwenye taasisi nyingi za Serikali na hata binafsi,na kuna sehemu nilipita tulikuwa tunachukua spea kwake
Siwajui dealers ila nmejaribu ku comment kwamba mtafute supply wa hizi pikipiki bongo atakuwa na spare zoteMfano nani?
Uza Ongezea Na Hiyo Ya Engine Tafuta Chuma Nyingine...950000 (Tisa na nusu)