Je, EPL imerudi kwenye ubora wake kudominate tena ulaya?

Je, EPL imerudi kwenye ubora wake kudominate tena ulaya?

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,627
Reaction score
38,689
La liga kwa kipindi kirefu takribani miaka 10 ililitawa soka la ulaya kwenye michuno mikubwa ya uefa na ile michuano ya losers wengi wanaiita futuhi Europa.

Lakini msimu huu kuna kila dalili uefa fainali ikawa ya waingereza kati ya chelsea vs man city na europa wakakutana kati ya arsenal vs Man u.

Je utawala wa madrid barca atletico na sevilla umefika kikomo sasa? Je, La liga imeanza kufuata nyayo za seria A kua ligi sindikizaji?
 
majibu utawala wa madrid barca atletico na sevilla umefika kikomo sasa. La liga imeanza kufuata nyayo za seria A kua ligi sindikizaj
 
Wanabodi,

Baada ya mechi za nusu fainali za michuano ya Ulaya first leg kuchezwa na matokeo kupatikana sasa kuna uwezekano mkubwa kabisa timu za EPL zitakutana zenyewe kwa zenyewe katika fainali

Kwenye Ligi ya Mabingwa wa Ulaya, Manchester City ilifanikiwa kushinda PSG kwa magoli 2-1 ugenini na timu ya Chelsea ilifanikiwa kutoka sare ya 1-1 dhidi ya Real Madrid ugenini

Kwenye michuano ya Europa, timu ya Manchester United ilichapa timu ya Roma kwa magoli 6-2 nyumbani, wakati timu ya Arsenal ilifungwa na Villarreal kwa magoli 2-1

Kwa haraka haraka utaona kuwa kwenye UCL, Man City ni kama keshaingia fainali, siioni kama PSG anaweza kushinda akienda Manchester, wakati huohuo kwa form aliyokuwa nayo Chelsea, Madrid siioni kama hata sare atapata pale Stamford Bridge

Ukija kwenye Europa, Man Utd tayari ameshaingia final hilo halina mjadala, huku mechi Arsenal na Villarreal ya marudiano , kuna uwezekano mkubwa wa Arsenal atapata matokeo anayohitaji na kuingia Final

Utabiri UCL: Man City vs Chelsea

Utabiri Europa: Man Utd vs Arsenal
 
Sawa ngoja , tusubir tuone ,

Muda ni Mwalim mzur
 
baada tu ya kuona nusu fainali ya Uefa na Europa nakumbuka nilikua naongea na shabiki wa Chelsea aliniuliza kuhusu mtazamo wangu kabla hata mechi za awali hazijachezwa,nikamwambia naona fainali zote mbili za waingereza tupu na nikamwambia tena hii ndogo kwakuwa Arsenal atalazimika kubeba ili apate nafasi ya kushiriki msimu ujao basi atacheza kwa presha na atapoteza fainali.

Uefa pia inategemea Chelsea atamaliza kwenye nafasi gani kwenye ligi ,kama akimaliza nje ya top 4 naona atapoteza ila kama atamaliza ndani ya top 4 naamini presha itakuwa zaidi kwa City na itapelekea Chelsea kubeba ndoo.
 
Real Madrid ataenda kucheza mpira wote Stamford Bridge, kile kipindi cha pili alivyokuwa mgumu kucheza mpira alihofia Chelsea asipate goli jingine la away ingekuwa mbaya zaidi kwao, ila game ya london Chelsea wawe makini sana, wale jamaa watafunguka zaidi hawatakuwa na chakupoteza.

Arsenal siwapi nafasi naona kama wameshatoka japo wanaonekana kuwa na slim chance, Villareal wanaweza pata magoli london uwezo huo wanao.

Man Utd hawa wameshaenda final.

Man City kwa PSG wanatakiwa kuwa na ubora wao, waumiliki mpira watumie chances watakazopata, wahakikishe Mbappe na Neymar wanafichwa kama ilivyokuwa kwa first match, wakiwasahau kidogo hao wanaweza kuwaumiza wasiamini.
 
Ni kipindi tu ila hzo tim kubwa barca na real zikijitoa eufa utaona jinsi uefa itakavokosa mvuto tofauti akijitoa man u au city. Ni kipind tu timu znapitia
 
La liga kwa kipindi kirefu takribani miaka 10 ililitawa soka la ulaya kwenye michuno mikubwa ya uefa na ile michuano ya losers wengi wanaiita futuhi Europa.

Lakini msimu huu kuna kila dalili uefa fainali ikawa ya waingereza kati ya chelsea vs man city na europa wakakutana kati ya arsenal vs Man u.

Je utawala wa madrid barca atletico na sevilla umefika kikomo sasa? Je, La liga imeanza kufuata nyayo za seria A kua ligi sindikizaji?
Tatizo epl hatujawahi kudominate soka la ulaya for ten years
 
Real Madrid ataenda kucheza mpira wote Stamford Bridge, kile kipindi cha pili alivyokuwa mgumu kucheza mpira alihofia Chelsea asipate goli jingine la away ingekuwa mbaya zaidi kwao, ila game ya london Chelsea wawe makini sana, wale jamaa watafunguka zaidi hawatakuwa na chakupoteza.

Arsenal siwapi nafasi naona kama wameshatoka japo wanaonekana kuwa na slim chance, Villareal wanaweza pata magoli london uwezo huo wanao.

Man Utd hawa wameshaenda final.

Man City kwa PSG wanatakiwa kuwa na ubora wao, waumiliki mpira watumie chances watakazopata, wahakikishe Mbappe na Neymar wanafichwa kama ilivyokuwa kwa first match, wakiwasahau kidogo hao wanaweza kuwaumiza wasiamini.
Ule msako uliopigwa na city second half psg hawauwezi kamwe....
 
Back
Top Bottom